PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bado wewe na Mbowe, mnatakiwa kuondoka haraka sana walanguzi wakubwa wa demokrasia.
NO REFORM NO ELECTION ilipitishwa na chama chini ya ushabiki wa hawa hawa kenge, kumbe ilikuwa ni mradi wa kuwatishia CCM ili wavute pesa kama kawaida yao, sasa No REFORM NO ELECTION imepata dereva sahihi wale waliokuwa wanategemea wapige pesa njaa zitawaua.
Ukitaka kujua Mbowe na timu yake walituchuuza kwa miaka mingi angalia vilio vya hawa chawa wake
 
Njaa ni kitu kibaya sana. Haijawahi lumuacha salama mtu yeyote yule.
 
Mbona utaumia sana kiongozi? Huu ni mwanzo tu makapi yote yatapukutika watabaki wenye uchungu na nchi wanaomaanisha na sio entertainers, eti unakua kwenye sekretarieti ya chama wakati mke anayekulisha ni covid 19, watanzania sio wajinga tena ndio mjue!
 

Nukta...
 

Watu kuhama katika Vyama vya Siasa au kuhama Dhehebu la Dini ni jambo la kawaida kabisa hapa duniani. Wala siyo Kitu Kigeni.

Isipokuwa kwa jinsi Mimi ninavyofahamu, nchini Tanzania kuna Makundi Matatu (3) ya Vyama vya Siasa, makundi hayo ni:-

1. Vyama Tawala.
Kwa Sasa kipo kimoja tu, yaani CCM. CCM inatawala nchi hii ikiwa Chama pekee, haijaingia Mseto na Chama kingine chocolate kile Cha Siasa ili kuunda Serikali.

2. Vyama vya Upinzani.
Hivi ni Vyma mbadala ambavyo vinakinzana na Chama Tawala kwa kutumia nguvu za hoja, hoja za nguvu, ushawishi wake katika jamii, n.k. Mainly, Vyama hivi vinalenga hasa masuala ya HAKI na Demokrasia.

3. Vyama Mamluki.
Hivi ni Mkusanyiko wa Vyama ambavyo Vinamilikiwa na Chama Tawala kilichopo Madarakani. Kazi yake kuu ni kufanya Siasa za Geresha, Maigizo, hadaa na Ghiriba ili kuhujumu harakati halali za Kupigania HAKI na Demokrasia katika nchi. Vyama hivi ni Kama vile 'Undercover Agents,' wanaofanya kazi chini ya Mwavuli wa Siasa, lakini nyuma ya pazia vinaifanyia kazi Utawala uliopo na Chama Tawala.
 
Chama haijavunjika ila wachumia tumbo chadema Sasa sio sehemu yenu
 
Jasusi unaona aibu kuunganq na wenzako. Kimsingi Chadema ikifa kila mtu atajua kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa upinzani nchini tumepata chama cha upinzani kwa kipindi tangu Lissu alipomadarakani.

Ulichoandika kinathibitisha zaidi hilo.
Sababu za watu kuondoka chadema ni hizohizo walizokuwa wanazisimamia wakati mwenyekiti akiwa mwingine.

Wafuatiliaji tunashuhudia ujinga mkubwa sana wa waliokuwa Chadema.
 
Chama kipi kilichovunjika mbwa wewe
Chama kipi kilichovunjika mbwa wewe tamaa yenu ya nyama na pombe za bure ndio zilikuwa zikaiue chama ila mmeshashitukiwa takataka kabisa.
 
Mnafiki mkubwa wewe.
Tuondolee upumbavu wako na hao njaa 55 wenzako. Chadema ipo sana hatuwezi kuyumbishwa na wapumbavu kana nyie na huyo DJ wenu nendeni mkapewe huo nusu mkate mlio ahidiwa.
Kama ni kutukana na kuleta mgawanyiko huyu yerico alitukana sana wakati wa kampeni. Leo anajidai kusikitika pumbavu
 
Chama kipi unachokizungumzia? Yaani akini kigaila zero brains ndo waparaganyishe chadema. Eti akini yeriko nyere ndo waparanyishe chadema, kweli!! You cant be serious
 
Shame upon Yerrico!
 
Chama kipi unachokizungumzia? Yaani akini kigaila zero brains ndo waparaganyishe chadema. Eti akini yeriko nyere ndo waparanyishe chadema, kweli!! You cant be serious
Mjinga huyo. Anajidai ana akili kwa kuandika vile vipeperushi vyake vya history 2?
Unapomlinganisha mgombea/ mbowe na alfa na umega ulimanisha nn?
Alisema hatuwezi kuwaachia chama wanaharakati kama lisu. Lisu kashinda anaweweseka.
Alisema lisu hana pesa . Hao wenye pesa ndo wameenda CHAUMA awafuate huko
 
Kama Unahumia Chomoa Usije.....
 
Nilichojifunza kwenye hili la Chadema ni mbinu ile ile waliyowahi kuwatolea wenzao ndio mbinu hiyo hiyo inawatoa na wao.

Mbinu yakupeana cheo cha USALITI sasa naelewa kwanini ZITTO aliamua kukaa kimya na kuuacha muda uzungumze.

Kuna muda alikuwa anatoa mabomu kuhusu Mbowe ila nani angemsikiliza na watu wa nchi hii huwa hawasikilizi hoja ila wanasikiliza mtu anaesema hizo hoja.

JIna la USALITI litaendelea Chadema hadi pale watakapobadilisha mbinu zingine.

Siku atakayoondoka Lissu nae atapewa tuhuma hiyo hiyo ili anaefata apate uhalali wakukalia kiti.

Tuupe muda nafasi.
 
Chadema fagieni na hii takataka ilibakizwa kwa malengo maalum nyumba yenu ibaki safi.

Wote waliohama hakuna hata mmoja ambaye ni tishio au machachali na kundi la wanufaika wa ruzuku sasa mrija umekatwa wamenuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…