PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi nyie wapuuzi mna ushawishi gani Chadema kiasi kwamba kuondoka kwenu kulete mtikisiko? Hamna ushawishi wa kumfikia Zitto Kabwe,David Silinde,Dr.Slaa (muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015). Kwendeni zenu mbwa nyieeeee!!
 
Umeongea points sana, hao walioama pamoja na Mbowe kama kweli walikuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kisiasa kwenye nchi hii basi kipindi hiki wangekuwa wa kwanza kumshukuru Mungu kwa kutupa zawa ya Tundu Lissu.

Ila Mungu ni Mweza na sasa ameweka ukeli wote wazi na kila mwenye akili anajionea.
 
Na wewe unahama lini?
 
M.bwaa koko wewe tutokee hapa mwanaume mzima domo sasa khaa..

Kakojoe ukalale usituletee nzi
 
Haikuwahi kutokea kukisia tu kuwa wewe ungetokea kuwa mtu mmoja mpuuzi kama ulivyo jipambanua mwenyewe.

Sasa kama CHADEMA imekufa kwa nyinyi mliokuwa mnaifanya iishi kuondoka, si kaanzisheni au kajiungeni kwenye vyama vilivyomo 'intensive care', ili mvipe uhai?
Mnalilia kitu gani tena kwenye chama kilichokufa!
 
Hata wewe sepa Chadema nilidude likubwa sana
 
Comrade usiumie coz vyama vya upinzani havikupewa baraka ya kushika Dola bila kujali mgombea Bora kiasi Gani waliomweka Kwa uchaguzi!!

KAZI ya vyama hivyo ni kuisaidia ccm isiharibu Kwa kutumiwa na system ili ku check and balance!!
Huna haja ya kuumia mkuu!!
 
Siasa za kitapeli zimefanya chadema kubaki kuwa chama cha upinzani,badala ya kuwa chama kinacho ongoza dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…