Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

Aisee we jamaa unaonekana Ni mpiga chabo hatari Sana kudadeki!
Yaani hukutosheka kuwaangalia kwenye gari ukaamua uwafate mpaka na nje Hadi ukawarekodi kbsa😂
Aiseee.......nimecheka sana.
 
Ulichezea fursa tujifunze tumia fursqvacha wivu alikutaka wewe ila ulizingua ndio basi tena
 
[emoji16] nikikumbuka kuna jamaa alimtapikia demu halafu wakalala chumba kimoja gest huwa nacheka sana
 
Mtoa mada naomba nitumie hiyo video pm ili nikeemee vizuri hili swala[emoji28]
 
yaan mkuu story yote hiyo umeona hapo tu ili ukosoe?......bora hata ungekuwa wa kike......trust
nani anapanda basi la mkoani ili kujikumbusha mabasi bana weeeh ???

siku nyingine nenda moja kwa moja kwenye mada.

huna haja ya kujishtukia na kutueleza uongo kwa saab hatutaki kujua kwa nini umepanda mabasi. Hukuwa na pesa ya ndege. That simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…