scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
naangaliaga vinyuzi vyakeAchana nae huyo chixi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naangaliaga vinyuzi vyakeAchana nae huyo chixi
Aiseee.......nimecheka sana.Aisee we jamaa unaonekana Ni mpiga chabo hatari Sana kudadeki!
Yaani hukutosheka kuwaangalia kwenye gari ukaamua uwafate mpaka na nje Hadi ukawarekodi kbsa😂
Another trending threads, " Mke wa mtu"
Ulichezea fursa tujifunze tumia fursqvacha wivu alikutaka wewe ila ulizingua ndio basi tenaHabari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima.
Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku binafsi tu). Mida ya saa 4 hivi asubuhi nilifika stendi ya mabasi MAGUFULI pale mbezi nikijua kabisa siwezi kosa gari la Moshi.
Kweli nikapata gari inayoenda Arusha mjini ikipita moshi mjini(kampuni kapuni), wakati naingia kwa gari naoneshwa seat yangu pembeni kulikuwa na dada mmoja akiwa na mtoto wa miaka kama mitatu hivi, huyu dada alionekana anajaziba muda wote kwani alikuwepo hapo tangu saa 1 asubuhi na Gari bado haliondoki.
Ni kweli Gari lilikuwa linaendelea kupakia abiria ili lienee, wakati anajilalamisha muhuni hata nilikuwa sina shobo kwani nilihisi hana sababu ya msingi kwani hata Gari linatafuta ridhiki haliwezi kuondoka na yeye mwenyewe basi muhuni msomi nikawa namtazama huku nampuuzia kwa kutikisa kichwa pale akijaribu kunishirikisha malalamishi yake.
Basi bhna kabla kama dakika kumi hivi gari hilo kuondoka akaingia kijana mmoja na akaoneshwa seat ambayo huyo dada alikuwepo yeye na mtoto wake, akakaa hapo na safari ikaanza baada ya basi lile kujaa.
Wakati tunaendelea na safari mida kama ya saa moja hivi kigiza kikiwa kimekolea baada ya mambo ya kawaida safarini kutokea kama kawaida mkiwa kwenye basi, nikiwa napepesa macho yangu ghafla nikaona yule mdada anajibinua kwa sura ambayo kama yupo kufanya mapenzi akiwa amempakata mtoto aliyekuwa amalala.
Nilipochunguza kwa macho ya pembeni nikagundua jamaa ameingiza mkono ndani ya dela la yule binti akiendelea kusugua mbususu ya yule binti huku akijifanya hajui kinachoendelea but nae usoni mwake akiwa na usongo wa kuisugua. Baadae wakawa wanapeana na mate huku yule mdada akitoa miguno ya kimahaba mtoto akiwa amelala, walifanya vituko vingi hapo sitaweza kusimulia vyote(kuna wakati mkuyenge wangu ulidinda niwe mkweli)
Sasa nini kilifanya niumie.....?
Wakati wote wa safari huyu binti alikuwa anapigiwa simu na baba wa mtoto wao na alionekana yuko very mpole huyo mumewe since alikuwa anaweka loudspeaker wakati wakizungumza kuhusu maendeleo ya safari na wamefika wapi?
Ikafika hatua huyu binti alimjibu jamaa yeye atalala stendi hiyo siku ya jana kwa hiyo jamaa aende tu nyumbani kulala akidai barabarani kuna shida, ni kweli jana mabus ya kutoka dar kuanzia mida ya saa 2 asubuhi hivi tulifika moshi mjini saa nane usiku sababu kuna lori moja liliferi likaziba barabara na hakuna bus lolote kutoka pande zote lililoweza kupita hapo. Nadhani ilikuwa ni pale Mwanga.
Na kuna wakati wakati tupo hapo kwa majanga ya hilo lori tulikaa kama masaa matano hivi hapo, yule binti akamlaza mtoto kwa seat akatoka na yule kijana njee mimi sababu nilijua mchezo wao nikawafatilia nikawaona wamekaa pembeni mwa lori ambalo lilikuwa pembeni mwa barabara nami nikashuka nikajifanya naongea na simu but nilikuwa nimeacha camera on nichukue lile tukio kidogo, kweli yule binti akapandisha dela akaikalia mashine na kuanza kuikatikia.
FUNZO.
Wanaume tuangalie wanawake wakuzaa nao tuache kuangalia makalio (yule binti alikuwa na makalio balaa na alivyokuwa na makusudi alikuwa akiinuka analishikia dela kwa juu basi makaliooo) sasa imagine mkeo anafanya ufuska kama huo mbele ya mtoto tena ndani ya gari na mtu ambaye hata hamjui wamekutana safarini, iliniuma sana.
ASANTENI
Mshkaji aliyemla huyo mke wa mtu ndani ya bus nae atakuja na mchango wa kumla kimasihara bi dada mwenye mtoto safarini 🤣🤣Huu uzi uungane na ule wa rikiboy kula kimasihara..
Nilifikiri litakupa funzo, kumge we upo kwehye kusutana!Tutakupa Cheo cha Umbea
Sio kwa kufatilia huko maisha Ya huyo Dada
Kazi kwelikweliMshkaji aliyemla huyo mke wa mtu ndani ya bus nae atakuja na mchango wa kumla kimasihara bi dada mwenye mtoto safarini 🤣🤣
yaan mkuu story yote hiyo umeona hapo tu ili ukosoe?......bora hata ungekuwa wa kike......trust me kuna roho za kishirikina na umasikini zinakufuatilia..........chukua hatua mapema.huna haja kutuambia sababu zako za kujishtukia za kupanda basi la umma.
Huna pesa, period.
Unaushuhuda mkuuWanawake aisee wanaliwa kijinga sana
nani anapanda basi la mkoani ili kujikumbusha mabasi bana weeeh ???yaan mkuu story yote hiyo umeona hapo tu ili ukosoe?......bora hata ungekuwa wa kike......trust