Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

Wewe ni wa wapi. Hizo chuki binafsi ndugu. Hizo tuhuma sio za kweli dhidi ya wapare na wachagga.
 
Did u pray today
 
Hata kinga hakuna. Upo sahihi mkuu tusijisumbue kuwalinda watu wazima wenye mbinu za ajabu. Tutakufa mapema tuwaachie wengine. Tutakuwa tumefaidi nini?
 
Kuna mafunzo mengi hapo zaidi ya hilo uliloiona wewe la makalio. Wewe mwenyewe nawe ni tatizo.Unaona uchafu unafanyika mbele yako badala ya kutishia wakaacha hiyo habari wewe unaangalia mpaka unatamani.Hujui kama mambo kama hayo yanapelekea ghadhabu za Mwenyezi Mungu.Haya mabasi yanayopinduka na kushika moto mara nyingi huwa kuna siri za chini kwa chini.Wamiliki wake ni watu wao na wanaodhulumu watu au hawafuatilii uchafu unaofanyika ndani ya vyombo vyao vya usafiri. Wewe hapo kama ulikasirika kweli ungemtonya utingo wa gari akawakemea.Badala yake umetoka ukawafuatilia mpaka nje ya gari walipokwenda kumalizia uchafuj wao kwani naamini kwenye gari isingewezekana zaidi ya kupanda kwa matamanio.Sasa maumivu yako si ya kweli bali zaidi ni wivu na udaku usiokuwa na tija.
 
Mi siamini bhna ''HUO NI UONGO "
Tuma hyo video n ikague😒😁
 
kwa hili nipo tayari kaka
Mh! Huyo bi dada naye alikuwa ni "maharage ya mbeya" hasa, tena yale meupe wanaita lusaka!

Kufanya mapenzi ni takwa la starehe ya hiyari na hutakiwa kufanyiwa maandalizi ya kisaikolojia na kimwili kabla ya utekelezaji wake!

Hapo kilichoangaliwa ni "mbususu" na "kuikalia" tu basi, mambo mengine ya kukamilisha kistaarabu mchakato huo yalifumbiwa macho kwa tamaa ya fisi!

Unazini kiholela na mtu usiyemjua bila kinga, huo ushujaa wa mangi sina jamaa aliutoa wapi!

Naanza kuhisi kuwa hao huenda walifahamiana kabla na kukosa muda wa kufanya waliyoyafanya siku hiyo labda!

Ni hivi hivi tu kweli jitu from no where unaliparamia na kuligonga, au walikuwa na visa vya uhasama ama madai mwanamke kudaiwa!

Maana sex, some time hutumika kumaliza visa ama kufutia madeni sugu yaliyoshindikana kulipwa ili kumaliza tofauti zilizopo na kuwaleta watu pamoja!

Halafu katikati ya safari mnazini kweli, maji ya kujiswafi mnayatoa wapi!

Ni mwendo wa kunuka vikwapa njia nzima kama mabeberu!

Kwa kweli sisi binadamu ni wanyama kibaiolojia na ki matendo pia, tena kuwazidi hao wanyama wa mstuni wasio na utashi!

Kwa hiyo baada ya tendo jamaa akajiona mjanjaaa, kwa kuwaona wanaume wote basi zima wapumbaf kawazidi uhuni siyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…