kwa hili nipo tayari kaka
Mh! Huyo bi dada naye alikuwa ni "maharage ya mbeya" hasa, tena yale meupe wanaita lusaka!
Kufanya mapenzi ni takwa la starehe ya hiyari na hutakiwa kufanyiwa maandalizi ya kisaikolojia na kimwili kabla ya utekelezaji wake!
Hapo kilichoangaliwa ni "mbususu" na "kuikalia" tu basi, mambo mengine ya kukamilisha kistaarabu mchakato huo yalifumbiwa macho kwa tamaa ya fisi!
Unazini kiholela na mtu usiyemjua bila kinga, huo ushujaa wa mangi sina jamaa aliutoa wapi!
Naanza kuhisi kuwa hao huenda walifahamiana kabla na kukosa muda wa kufanya waliyoyafanya siku hiyo labda!
Ni hivi hivi tu kweli jitu from no where unaliparamia na kuligonga, au walikuwa na visa vya uhasama ama madai mwanamke kudaiwa!
Maana sex, some time hutumika kumaliza visa ama kufutia madeni sugu yaliyoshindikana kulipwa ili kumaliza tofauti zilizopo na kuwaleta watu pamoja!
Halafu katikati ya safari mnazini kweli, maji ya kujiswafi mnayatoa wapi!
Ni mwendo wa kunuka vikwapa njia nzima kama mabeberu!
Kwa kweli sisi binadamu ni wanyama kibaiolojia na ki matendo pia, tena kuwazidi hao wanyama wa mstuni wasio na utashi!
Kwa hiyo baada ya tendo jamaa akajiona mjanjaaa, kwa kuwaona wanaume wote basi zima wapumbaf kawazidi uhuni siyo!