Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Umesahau kuweka namba ya simu
 
CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.

Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.

Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Mbona kama unaweweseka? Tulia dogo
 
Wewe pia punguza kamdomo,dunia ngumu hii, na mwaka huu ccm inaondoka kisa ka mdomo kenu, huwe unasikilizia kwanza wana wa Mungu kama mie wanasema nini? ,

Kamdomo, kamdomo ,kamdomo ,punguza
CCM ni mpaka mwisho wa Dunia itaendelea kuwepo tu
 
Kakojoe ulale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…