Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Wamekupa uongozi wa jimbo la hovyo na mzee mwenzio wa hovyo kapewa ulaji wa umakamu mwenyekiti, chama cha hovyo kinawapa teuzi wazee wa hovyo waliochoka akili zao za hovyo. Tutegemee nini sasa?
Infact,
wanainchi wa hulka na wa aina yako wapo wengi tu mitaani pia jimboni kwangu wapo. Na mara nyingi hupuuzwa na kudhibitiwa na wananchi wengine wenye hekima na busara gentleman 🐒
 
Mkuu unachekesha sana ,ruzuku wanayopata kwa sasa ni 107m ambayo hata haitoshi tu kuhudimia makao makuu na hiyo ruzuku mwisho October maana uchaguzi wa 2025 wanapigwa tena za USO, Uchaguzi wa serikali za mitaa umeona.
Maneno ya watu wa hovyo ambao wanachukulia uchafuzi wa 2024 kuwa ni kigezo cha kujenga hoja za hovyo, CCM mmoja mwenye hekima Jaji Warioba aliyekemea ukiukwaji huu wa sheria na taratibu za uchaguzi
 
Mwaka huu wa 2025,uchaguzi utakuwa na upinzani ambao haujawahi kutokea.
 
Kabla ya February kuisha kutakuwa na maandamano kupinga tume ya uchaguzi na kudai katiba mpya. CCM na Polisi mjiandae.
 
CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.

Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.

Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Kumbe bila Mbowe Chadema haina maisha?.....chama kimachosimama kwa kutegemea utashi/fadhila za mtu mmoja hakifai kuaminiwa.
 

CHADEMA imewaletea Vichomi- TAL and John Heche.
 
Tabula rasa. Take a chill pill and swallow the watermelon
 
CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.

Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.

Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Bora kife kwa misimamo, kuliko kiwe hai kwa kujipendekeza kwa majizi ya ccm.
 
Inakuhusu nini issue za Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…