Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

nimekusoma vyema
 
Tatizo la hi kitu kwa wengi ni sawa na kumwambia mteja aache unga. Kikubwa mkuu weka msimamo na usimamie
 
Acha uzinzi!

Nilichojifunza tu ni kuwa wanawake muwe karibu na waume zenu kuondoa vishawishi kama hivi!! Huyu jamaa kamsaliti mkewe sababu ya tofauti zao za week 3 tu!!
 
So for your information E, hakuwa kwenye safe days like she made you believe, subiri taarifa za mimba. Congrats in advance!
Nice observation! Anadhani akili za mwanamke aliyedesperate na ndoa au mtoto ni za mchezo mchezo!!!
 
Huwa sipendi sn kuchangia mada za wazinifu.. Kwanini hukuja kuomba ushaur kabla ya kula vitu vyako?! Asa hivi kinasumbua nini we tulia tu. Ilimradi usirudie tn na mwanaume ni msimamo si kingine
 
Erick Shigongo hatimaye anapata washindani wake! Mwanzo mzuri endelea na utunzi huu, uko vizuri
 
Hii ndoa tayari ipo Lehani, sooni itapata mchuuzi akaipige bei ....hongera sana shemeji umepata kisichokustahili
 
Saa hizi ni mchana,hebu tuambie sasa mmewezaje kukutana na E hapo ofsini?

Au kila mmoja akimuona mwenzake anakula kona?
 
Mm nilijua unamuomba msamaha wife kwa kwa kudate na E but labda ungemuomba msahamaha E kwa kutoa weak game kwa sababu yy ndio alikushawish subir itokee part 2_kwa mkeo uone ladha ake
 
kama story ya kutungwa vile?? ishu ni mchepuko, lakini story nyingiii, unafaa kuwa kwenye shigongo co.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…