Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mwenyeezi Mungu atakuponyesha amin kuhusu tumbo kuuma ramba asali utapona tumbo ukiwa bado tumbo linauma tena ramba asali kijiko 1 ikiwa bado ramba tena mara ya mwisho asali kijiko 1 utapona maradhi yako ya tumbo.MwenyView attachment 2633655
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...
Maombi yenu please nipate ahueni mapema..
Ahsante..
Was it recovered forever?I have been there pole mkuu..
haya sasa unharibu uzi wa watu😂 tantalk inaendeleaje....Ila nazikia cocastic ana msambwanda 🙃 pisi moja kali sana zaid ya hamisa mobeto.
Hataki kupost selfika watu tupigie selfi picha zake😀
Ahsante kwa ushauri nitauzingatia vyema..Mwenyeezi Mungu atakuponyesha amin kuhus tumbo ramba asali utapona tumbo ukiwa bado tumbo linauma tena ramba asali kijiko 1 ikiwa bado ramba tena mara ay mwisho asali kijiko 1 utapona maradhi yako ya tumbo.
Emen I grant you’re glorious...Get well the soonest in Jesus Christ Name
Get well soon geeView attachment 2633655
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...
Maombi yenu please nipate ahueni mapema..
Ahsante..
Acha pigo hizo ongea na dogo mfungue site mie nitakuwa nawap ushauriHuyu dogo inaonekana analelewa na shemeji
Kweli.. Ahsante sana!Pole sana kwa kugua mkuu..
Pia asante kwa kutujuza nini kinakusumbua na sababu iliyopelekea ukaumwa hivyo..
Kwa kufanya hivi utaokoa wengine wajihadhari..
Once again, Pole sana.
wewe ndo una matusi afu mi sijui kujibizana ntakula ban nina id moja tuHuyu dogo inaonekana analelewa na shemeji
Thanks gee!Get well soon gee
Uboboh muombe mshamba_hachekwi msamahawewe ndo una matusi afu mi sijui kujibizana ntakula ban nina id moja tu
Ahsante..Mkuu!Pole sana mkuu, ugua pole
Corona ya tumboWalisema Nini Kwa maana hata mie naumwa hivyoo
Ngoja nione kamaster wapi akipendaAcha pigo hizo ongea na dogo mfungue site mie nitakuwa nawap ushauri
Bld mwanangu wapi nimetukana mkuu???wewe ndo una matusi afu mi sijui kujibizana ntakula ban nina id moja tu