Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mwenyeezi Mungu atakuponyesha amin kuhusu tumbo kuuma ramba asali utapona tumbo ukiwa bado tumbo linauma tena ramba asali kijiko 1 ikiwa bado ramba tena mara ya mwisho asali kijiko 1 utapona maradhi yako ya tumbo.MwenyView attachment 2633655
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...
Maombi yenu please nipate ahueni mapema..
Ahsante..