Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

MwenyView attachment 2633655
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...

Maombi yenu please nipate ahueni mapema..

Ahsante..
Mwenyeezi Mungu atakuponyesha amin kuhusu tumbo kuuma ramba asali utapona tumbo ukiwa bado tumbo linauma tena ramba asali kijiko 1 ikiwa bado ramba tena mara ya mwisho asali kijiko 1 utapona maradhi yako ya tumbo.
 
Pole sana kwa kugua mkuu..

Pia asante kwa kutujuza nini kinakusumbua na sababu iliyopelekea ukaumwa hivyo..

Kwa kufanya hivi utaokoa wengine wajihadhari..

Once again, Pole sana.
Kweli.. Ahsante sana!
 
Back
Top Bottom