Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

To be honest not forever nilipata dawa za hospital nikapiga nusu dozi ni kawa sawa,

ila niliporudi dimbani kwenye vitu kali baada ya mwezi na week vikaniaatack tena japo haikuwa serious kama mwanzo maana mwanzo nililazwa hospital siku nzima.

Nilipewa dodoso la dawa ya asili apple 1, carrot 2, na cabbage 1/4, nikazisaga kwa blender kupata juice nzito glass moja asubuhi moja jioni, nilitumia siku tatu tu ikanisaidia kwa kiasi kikubwa baada ya kuzingatia kuwa nakula kabla ya vitu vikali, nna miezi sasa npo poa kabisa.

Ila kwa dozi hiyo hiyo unaweza kupona kabisa japo inatakiwa upige hiyo dozi at least siku saba au zaidi maana haina madhara ni lishe kama lishe nyingine, at the same time ustop pombe for a considerable period.

mi naitumia kama pain relief nnapopata hiyo attack maana sometime maumivu yanaweza kuextend hata siku tatu na zaidi ila nikipiga hiyo juice inaclear effectively.
Ushauri mzuri huu nimekuelewa mkuu! Ahsante sana
 
Hako kadude alikowekea mtoa mada mkononi.
Kanatumiwa na madokta/ nesi wavivu kumchomea mtu sindano, kuipitisha sindano.
Ni kanaumaaaa
Na ukiwekwa vibaya ndio ntinti
Mimi sikuhisi maumivu kabisa maana nilikua hoi sana!
 
Back
Top Bottom