IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
- Thread starter
- #81
Unajua niliwaza hivyo Kweli ila nikapotezea ๐๐๐๐Mr dislike amekujuju
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua niliwaza hivyo Kweli ila nikapotezea ๐๐๐๐Mr dislike amekujuju
amekula vyakula vya hovyo vimemuharibu tumbo๐ atafte hela aache kula mihogoAu presha za ban? mshamba_hachekwi
Muombe Mungu akusaidie ww peke ako huweziShida kuiacha inachukua mdaa sana na inatakia kuchukua maamuzi magumu sana!
Ushauri mzuri huu nimekuelewa mkuu! Ahsante sanaTo be honest not forever nilipata dawa za hospital nikapiga nusu dozi ni kawa sawa,
ila niliporudi dimbani kwenye vitu kali baada ya mwezi na week vikaniaatack tena japo haikuwa serious kama mwanzo maana mwanzo nililazwa hospital siku nzima.
Nilipewa dodoso la dawa ya asili apple 1, carrot 2, na cabbage 1/4, nikazisaga kwa blender kupata juice nzito glass moja asubuhi moja jioni, nilitumia siku tatu tu ikanisaidia kwa kiasi kikubwa baada ya kuzingatia kuwa nakula kabla ya vitu vikali, nna miezi sasa npo poa kabisa.
Ila kwa dozi hiyo hiyo unaweza kupona kabisa japo inatakiwa upige hiyo dozi at least siku saba au zaidi maana haina madhara ni lishe kama lishe nyingine, at the same time ustop pombe for a considerable period.
mi naitumia kama pain relief nnapopata hiyo attack maana sometime maumivu yanaweza kuextend hata siku tatu na zaidi ila nikipiga hiyo juice inaclear effectively.
Pole mkuuView attachment 2633655
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...
Maombi yenu please nipate ahueni mapema..
Ahsante..
Dah! Sawa bwana๐๐๐๐amekula vyakula vya hovyo vimemuharibu tumbo๐ atafte hela aache kula mihogo
Amin shukrani sana...Pole mkuu
Yesu atakuponya
ni nini hiki??cannula
Hako kadude alikowekea mtoa mada mkononi.ni nini hiki??
Nimepata ahueni kidogo mkuu!waendeleaje ndugu?
Kweli wamenicheki joto nipo sawa mkuu!Mkuu waambie wakupime kabisa na Corona, huu mji umechafuka sana.
Ahsante Dr.. Nashukuru nimepata ahueni sasa!Pole Sana mkuu
Nilidhani nimesikia yote [emoji81][emoji81]Vijana wa sikuhiz [emoji90][emoji90] kuumwa tumbo hadi unapost..? Nini cha ajabu au ni period?
Mimi sikuhisi maumivu kabisa maana nilikua hoi sana!Hako kadude alikowekea mtoa mada mkononi.
Kanatumiwa na madokta/ nesi wavivu kumchomea mtu sindano, kuipitisha sindano.
Ni kanaumaaaa
Na ukiwekwa vibaya ndio ntinti
Watu wa hivyo hawa kosekani kwenye jamii๐๐๐Nilidhani nimesikia yote [emoji81][emoji81]