BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Uliamua umalize kila kitu. HongeraSalamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Nihamie na virago vyanguKwa miezi miwili Sasa nakubali kwamba Dstv wapo juu,Picha HD japo wana bei juu lakini unafurahia huduma.Changamoto content nyingi ni za kidhungu,kama Englisha haipandi kina channel hutafaidi kama hizi M net Movies
Star life ipo kwenye package ya bei gani?Kwa miezi miwili Sasa nakubali kwamba Dstv wapo juu,Picha HD japo wana bei juu lakini unafurahia huduma.Changamoto content nyingi ni za kidhungu,kama Englisha haipandi kina channel hutafaidi kama hizi M net Movies
Jamani nauza decoder ya startime plz😂wenishinda tabiaStar life ipo kwenye package ya bei gani?
Ni miezi sita toka nisitishe kulipia king'amuzi chao
Wamefanyaje tena?[emoji28]Jamani nauza decoder ya startime plz[emoji23]wenishinda tabia
😄😄😄Kila siku wanatuhamisha vifurushi na baadhi ya chanel kutoa kabisa sasa bira niuze tu kwa mwenye uhitaji nacho nikile cha zamani wengi mnasema cha silver (gray) antenna bei ni sawa na bule 20K😎Wamefanyaje tena?[emoji28]
Kumbe una penda mieleka😀😂, njoo tupigane😀Usiache kuangalia channel 128 🔥🔥🔥
Chief umekua cyborgKumbe una penda mieleka😀😂, njoo tupigane😀
SawaChief umekua cyborg
🤣🤣🤣ShikamooSawa
Sawa🤣🤣🤣Shikamoo
NimekupataIngia channel namba 112,113 na 137 uendelee Kula movie mwanzo mwisho...
Kama ni MTU wa magari ingia channel namba 136 ufurahi
Ni kweli kibongo bongo dstv ipo juu,hakuna wa kumfikia lakini haitoi ukweli kwamba tunalipa zaidi kuliko tunachopata….Huko duniani kuna channel nyingi sana zenye content za ukweli,movies za maana lkn wao dstv wame jaza channel kama Kix,fashion nk …ukitoa supersport dstv has nothing to offer.Wabongo bana,sa yenye kitu ipi,mana wengine Azam hamna kitu
Ukisha izoea ndio utajua hamna kitu.
Weka Big Brother Naija ufaidi vizuri zaidiSalamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Baada ya ligi mbalimbali kuisha, nikajikuta naangalia zaidi chanel za mashindano ya mapishi zaidi.Weka Big Brother Naija ufaidi vizuri zaidi