Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

Ukiristo sio dini na uislam sio sheikh,
Binti, mbona unajibu kwa mkato na ghadhabu hivi, ulikosa cha alfajiri, au?

Unasema Ukristo siyo dini wakati unafahamu hao ndo waasisi wa dini yetu ya Haki??

 

Attachments

  • AQP7u9-YA87azKpFq9GbkztFIwndlbc-HehTzx_QYiXLA0uGuzWA5wmOKadhpd8QCn-l07HXv2DMeDk2h-5XiU4Le6e9nV...mp4
    847 KB
Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Wameshalikiroga na Sasa wanatafakari ni nini wafanye. Tendo la kuja na tamko lao siku Moja baada ya BAKWATA ni kosa jingine kubwa sana la kiufundi na wanajuta Sasa. Hapo ndipo walipoamsha malumbano ya kidini........na nikwambie tu, kwa Sasa umakini mkubwa sana unahitajika; hata hao mnaowaita gen z, hususani waislamu, hawatokuwa sawa. Kipo wanachokitafakari kwa kina kidogo Sasa.
 
Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Hizi ni karata za kisiasa kama utaelewa mchezo huo!

Kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Kuna mateka na kuna wahanga
 
Tatizo la masheikh ni ukosefu wa elimu ndio maana wanakurupuka na kutoa matamko ya shari,
Nakuuliza hao wetu nyinyi TEC wamesoma kitu gani? Huu upuuzi wenu Haina mshoko TENA. Wanaweza kuwa wiki.kimywa baada yankuona Mziki ninmkqli believe me mwaka huu lazima kieleweke wacha watoe waraka.wao wa kipuuzi TENA. Waone
 
MASHEKH UBWABWA WAKIWANGA MSIKITINI I
Inaonyesha wewe mama yako aligawa Sadaka kanisani Kwa msaaniimmoja mwenye kusamehe madhambi ndiyo product yako wewe. Baba yako aliridhia kama wewe ni wake baada ya kulakwa mafuta ya upako.
 
Ila tuwe tu wakweli, haya matamko ya masheikh wa bakwata na wahadhiri wao yamewashangaza waislam wengi wanaojitambua. Maana hayana logic! Yamejaa mihemko isiyo na sababu!

Utafikiri walilishwa kwanza madawa ya kulevya kabla ya kuanza kuyatoa hayo matamko yao.
Naskia ulikuwa ni mpango wa Abdul kukabiliana na TEC, maana kutumia vyombo vya dola kuwadhibiti TEC ni jambo lisilowezekana hata kidogo.

Hivyo akaona awatumie wale wehu wa BAKWATA wanaoongea huku wametunisha misuli ya shingo kama wamenyimwa ubwabwa harusini.

Ila sasa hivi wakuu wa usalama ambao kimsingi ni subordinates wake akina Mombo wamemwambia aache kuwafadhili tena, maana ile approach imeshafeli imekutana na upinzani sana kwa raia.
 
Nakuuliza hao wetu nyinyi TEC wamesoma kitu gani? Huu upuuzi wenu Haina mshoko TENA. Wanaweza kuwa wiki.kimywa baada yankuona Mziki ninmkqli believe me mwaka huu lazima kieleweke wacha watoe waraka.wao wa kipuuzi TENA. Waone
kizibao acha kuhemka kidini utaonekana ni mpuuzi huna akili
 
kizibao acha kuhemka kidini utaonekana ni mpuuzi huna akili
Umeeona post yangu Tu. Nakuambia I mwaka huu kama hamuujui Mziki wa Waislamu ndiyo mtaujua.. na nakuapia tutaheshimiana mwaka huu...
 
Umeeona post yangu Tu. Nakuambia I mwaka huu kama hamuujui Mziki wa Waislamu ndiyo mtaujua.. na nakuapia tutaheshimiana mwaka huu...
Unawaongelea waislam gani hao? Kama ni hawa waislam wenye akili timamu tunaoishi nao huku mtaani, wanawadharau tu na kuwaona nyinyi ni viumbe msio na akili.
 
Unawaongelea waislam gani hao? Kama ni hawa waislam wenye akili timamu tunaoishi nao huku mtaani, wanawadharau tu na kuwaona nyinyi ni viumbe msio na akili.
Kama ulivyo wewe? Hao hao utakuja kuiona iko siku wanakugeuka linapokuja suala la kupigania imani
 
Kama ulivyo wewe? Hao hao utakuja kuiona iko siku wanakugeuka linapokuja suala la kupigania imani
Hizi porojo zenu kamwe hazitafanikiwa. Waislam halisi hawana hizi mambo. Nyinyi wapenda ubwabwa ndiyo mnajitahidi kuleta taharuki, lakini bado wananchi wa dini zote wamechagua kuwapuuza.
 
Hizi porojo zenu kamwe hazitafanikiwa. Waislam halisi hawana hizi mambo. Nyinyi wapenda ubwabwa ndiyo mnajitahidi kuleta taharuki, lakini bado wananchi wa dini zote wamechagua kuwapuuza.
Endelea kujidanganya...
 
Umeeona post yangu Tu. Nakuambia I mwaka huu kama hamuujui Mziki wa Waislamu ndiyo mtaujua.. na nakuapia tutaheshimiana mwaka huu...
waislam gani hao ambao wako tayari kugombana na ndugu zao wakristo? Huo ushenzi wa kuhemka na kushadidia unao wewe na wapuuzi wa aina yako. Siku hizi hakuna kijana wa kiislam anayepelekeshwa na masheikh wenye mihemko ya kidini kuchochea chuki za kidini. Vijana wa kiislam wamesoma hawana ilmu madrasa akhera kama yako. Mshamba mkubwa we uliyeoshwa akili na dini ya kipuuzi na kujazwa chuki uwachukie wananchi wenzako wasioamini ujinga unaouamini
 
Mashehe wapo bize kuuza dawa na tiba za kisuni pamoja na kuuza dawa za kuboosti nguvu za kiume
 
Ila tuwe tu wakweli, haya matamko ya masheikh wa bakwata na wahadhiri wao yamewashangaza waislam wengi wanaojitambua. Maana hayana logic! Yamejaa mihemko isiyo na sababu!

Utafikiri walilishwa kwanza madawa ya kulevya kabla ya kuanza kuyatoa hayo matamko yao.
Hakuna cha madawa ya kulevya wala ninj,wale kikubwa wahakikishie ubwabwa tu watalopoka kila aina ya takataka.
 
Mnaleta vitisho vya vurugu za kidini, wananchi wanawapuuza washenzi nyie. Hii nchi si ya kidini, kila raia ana imani yake anayoiamini. Kuanza kubondana kidini ni ushenzi na ni kukosa akili, ni uwendawazimu
 
Back
Top Bottom