Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

waislam gani hao ambao wako tayari kugombana na ndugu zao wakristo? Huo ushenzi wa kuhemka na kushadidia unao wewe na wapuuzi wa aina yako. Siku hizi hakuna kijana wa kiislam anayepelekeshwa na masheikh wenye mihemko ya kidini kuchochea chuki za kidini. Vijana wa kiislam wamesoma hawana ilmu madrasa akhera kama yako. Mshamba mkubwa we uliyeoshwa akili na dini ya kipuuzi na kujazwa chuki uwachukie wananchi wenzako wasioamini ujinga unaouamini
Chuki za kidini mmezianza nyinyi na kuhubiri makanisani kwamba Waislamu ni magaidi. Kipindi kile tuliwa waoga hivi sasa tumeshajielewa.. Na TEC ndiyo muasisi ya vita dhidi ya Waislamu Tanzania . Na mmeshauwasha Moto kuuzima hamtoweza.. wacha twende hivi hivi mpaka kieleweke. Masheikh wanamaliza Tu, baada ya kustahamioi Sana, hivi sasa wameshaamuqa enough is enough..
 
Back
Top Bottom