antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Binti, mbona unajibu kwa mkato na ghadhabu hivi, ulikosa cha alfajiri, au?Ukiristo sio dini na uislam sio sheikh,
Wameshalikiroga na Sasa wanatafakari ni nini wafanye. Tendo la kuja na tamko lao siku Moja baada ya BAKWATA ni kosa jingine kubwa sana la kiufundi na wanajuta Sasa. Hapo ndipo walipoamsha malumbano ya kidini........na nikwambie tu, kwa Sasa umakini mkubwa sana unahitajika; hata hao mnaowaita gen z, hususani waislamu, hawatokuwa sawa. Kipo wanachokitafakari kwa kina kidogo Sasa.Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Wale mashehe wenu wa bakwata wanaudhalilisha sana Uislam!.Ukiristo sio dini na uislam sio sheikh,
Wewe hata usipotoka, unafatwa humo ndani.Wewe toka Dec 9, vijana wakutuombe.
Hizi ni karata za kisiasa kama utaelewa mchezo huo!Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Nakuuliza hao wetu nyinyi TEC wamesoma kitu gani? Huu upuuzi wenu Haina mshoko TENA. Wanaweza kuwa wiki.kimywa baada yankuona Mziki ninmkqli believe me mwaka huu lazima kieleweke wacha watoe waraka.wao wa kipuuzi TENA. WaoneTatizo la masheikh ni ukosefu wa elimu ndio maana wanakurupuka na kutoa matamko ya shari,
Inaonyesha wewe mama yako aligawa Sadaka kanisani Kwa msaaniimmoja mwenye kusamehe madhambi ndiyo product yako wewe. Baba yako aliridhia kama wewe ni wake baada ya kulakwa mafuta ya upako.MASHEKH UBWABWA WAKIWANGA MSIKITINI I
Naskia ulikuwa ni mpango wa Abdul kukabiliana na TEC, maana kutumia vyombo vya dola kuwadhibiti TEC ni jambo lisilowezekana hata kidogo.Ila tuwe tu wakweli, haya matamko ya masheikh wa bakwata na wahadhiri wao yamewashangaza waislam wengi wanaojitambua. Maana hayana logic! Yamejaa mihemko isiyo na sababu!
Utafikiri walilishwa kwanza madawa ya kulevya kabla ya kuanza kuyatoa hayo matamko yao.
kizibao acha kuhemka kidini utaonekana ni mpuuzi huna akiliNakuuliza hao wetu nyinyi TEC wamesoma kitu gani? Huu upuuzi wenu Haina mshoko TENA. Wanaweza kuwa wiki.kimywa baada yankuona Mziki ninmkqli believe me mwaka huu lazima kieleweke wacha watoe waraka.wao wa kipuuzi TENA. Waone
Umeeona post yangu Tu. Nakuambia I mwaka huu kama hamuujui Mziki wa Waislamu ndiyo mtaujua.. na nakuapia tutaheshimiana mwaka huu...kizibao acha kuhemka kidini utaonekana ni mpuuzi huna akili
Unawaongelea waislam gani hao? Kama ni hawa waislam wenye akili timamu tunaoishi nao huku mtaani, wanawadharau tu na kuwaona nyinyi ni viumbe msio na akili.Umeeona post yangu Tu. Nakuambia I mwaka huu kama hamuujui Mziki wa Waislamu ndiyo mtaujua.. na nakuapia tutaheshimiana mwaka huu...
Kama ulivyo wewe? Hao hao utakuja kuiona iko siku wanakugeuka linapokuja suala la kupigania imaniUnawaongelea waislam gani hao? Kama ni hawa waislam wenye akili timamu tunaoishi nao huku mtaani, wanawadharau tu na kuwaona nyinyi ni viumbe msio na akili.
Hizi porojo zenu kamwe hazitafanikiwa. Waislam halisi hawana hizi mambo. Nyinyi wapenda ubwabwa ndiyo mnajitahidi kuleta taharuki, lakini bado wananchi wa dini zote wamechagua kuwapuuza.Kama ulivyo wewe? Hao hao utakuja kuiona iko siku wanakugeuka linapokuja suala la kupigania imani
Endelea kujidanganya...Hizi porojo zenu kamwe hazitafanikiwa. Waislam halisi hawana hizi mambo. Nyinyi wapenda ubwabwa ndiyo mnajitahidi kuleta taharuki, lakini bado wananchi wa dini zote wamechagua kuwapuuza.
waislam gani hao ambao wako tayari kugombana na ndugu zao wakristo? Huo ushenzi wa kuhemka na kushadidia unao wewe na wapuuzi wa aina yako. Siku hizi hakuna kijana wa kiislam anayepelekeshwa na masheikh wenye mihemko ya kidini kuchochea chuki za kidini. Vijana wa kiislam wamesoma hawana ilmu madrasa akhera kama yako. Mshamba mkubwa we uliyeoshwa akili na dini ya kipuuzi na kujazwa chuki uwachukie wananchi wenzako wasioamini ujinga unaouaminiUmeeona post yangu Tu. Nakuambia I mwaka huu kama hamuujui Mziki wa Waislamu ndiyo mtaujua.. na nakuapia tutaheshimiana mwaka huu...
Hakuna cha madawa ya kulevya wala ninj,wale kikubwa wahakikishie ubwabwa tu watalopoka kila aina ya takataka.Ila tuwe tu wakweli, haya matamko ya masheikh wa bakwata na wahadhiri wao yamewashangaza waislam wengi wanaojitambua. Maana hayana logic! Yamejaa mihemko isiyo na sababu!
Utafikiri walilishwa kwanza madawa ya kulevya kabla ya kuanza kuyatoa hayo matamko yao.