Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Uliyataka
Ukayavunilia
Ukayabwaga

Sasa achana na kulia bali wafundishe wenzako wasiingie kingi kibwege
 
Wengine heartless kitambo.......

Kimbia_Babuu wa kitaa
 
Na bado. Kama saizi yako ni ki Ist au passo baki huko huko. Range rover envogue sports tuachie sisi wenye pesa zetu
Ata wale matajiri kule duniani ndoa zao zilivunjika; hawajulikani wanataka nini 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…