Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

Nenda kituo Cha afya haraka sana ... Ukaanzishiwe utaratibu wa Dawa LEO LEO, ni muhimu ufanye hivyo ndani ya masaa 72. Dawa unatumia kwa siku 28 , ni muhimu ukaanza ndani ya masaa 24. Dawa zenyewe zinaitwa tenofovir disoproxil/emtricitabine (jina lingene inaitwa Truvada) na vidonge viwili vya raltegravir


Ukianza usiache hata mara Moja usipomeza ndani ya masaa 48 baada ya kuanza dawa hizo basi unapaswa uache

Ingawa zinakuwa na side effects kadhaa vumilia comrade ..upite katika nyakati ngumu hizi pole sana wakati mwingine ukiona moyo unasita katika jambo Fulani hebu usikilize ukiona hamna namna tumia Kinga. Pole sana natumaini itakuwa umeshafika hospital kuanza utaratibu huu maelezo mengine utapewa ukifika hospital (kituo Cha afya)
 
Sio rahisi hivyo bwashee,hasa kama anatumia dawa kikamilifu.
 
UMepita na mke wa mwenye nyumba nini?
Your browser is not able to display this video.
 
Hatari sana...
 
  1. kula matunda
  2. kula mlo bora
  3. fanya mazoezi
  4. zingatia ushauri wa wataalamu
  5. jikubali
  6. fanya ibada ,
  7. jipatanishe na Mungu
aongezee mambo haya yanasaidia nayo
■kujijali
■kujithamini
■kunywa maji kwa wingi
■kulala mapema
■kuzingatia muda wa kula dawa
■kufanya mazoezi
■kula mlo kamili wenye matunda na mbogamboga
■kukaa mbali na haters na negativities🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…