Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Nimewapigia simu hao Marie Stopes wamenipa ushauri mwiiiingi na mwisho wa siku wamesema niende kituo cha afya nikaelezee mkasa wangu.Nenda Marie stopes watakusaidia
Okay. Pole sana.Nimewapigia simu hao Marie Stopes wamenipa ushauri mwiiiingi na mwisho wa siku wamesema niende kituo cha afya nikaelezee mkasa wangu.
Wamenielekeza niende kituo cha afya pale Sinza Palestina.
Amekupa majibu gani hayo unayosema hyaridhishi?
Ww hayo mapaja yake ulivyo yaona yalikuwa je?View attachment 3165804
Moja ya jibu lake ambalo kidogo ndiyo la kistaarabu hilo hapo. Mengine yote ni majibu mabaya ambayo hayafai hata kuweka hapa
Mapaja yake kama yameungua mkuu.Ww hayo mapaja yake ulivyo yaona yalikuwa je?
Vip ushaanza kutumia PEP?Mapaja yake kama yameungua mkuu.
Yaani yana mwonekano wa Chapati
Hivi namie ninaezagamua kavu mwaka wa nne huu baada ya kusoma uzi wa deception nijiweke kundi gani?Hapo ugonjwa hauna mzee. Kama cha kuvizia ngoma sio rahisi kiasi hicho. Mwenyewe kuna mboga naizagamuaga ila sina uhakika nayo niliipiga meter ya VVU ikasoma kistari kimoja nikaona ipo safi nikawa najipigia tu. Ila nina wasiwasi nayo sana maana inatokea kanda ile ya Unyaluni af ni kitoto cha Buku 2 na alinichomesha power safe mara moja.
Hahahaaa huyu ni mwanamke anaandika hv , hakika utayavuna mazao yako.poleView attachment 3165804
Moja ya jibu lake ambalo kidogo ndiyo la kistaarabu hilo hapo. Mengine yote ni majibu mabaya ambayo hayafai hata kuweka hapa
Peponi moja kwa mojaHivi namie nnaepiga kavu mwaka wa nne huu baada ya kusoma uzi wa deception nijiweke kundi gani?
Yaani ndomu nlishazisahau kabisa
Hivi namie ninaezagamua kavu mwaka wa nne huu baada ya kusoma uzi wa deception nijiweke kundi gani?
Yaani ndomu nlishazisahau kabisa
Mpk ma legend mmeanza kuogopa VVUπPeponi moja kwa moja
πππππ Kifo ni kifo tuMpk ma legend mmeanza kuogopa VVUπ
Kifo ni kifo dr. Ngugulile yupo wap na aliramba teuzi kali kabisa...πππππ Kifo ni kifo tu
πππππππ Nimegundua kuna tofauti kubwa sana ukiwa bachelor na ukiwa na familia.Kifo ni kifo dr. Ngugulile yupo wap na aliramba teuzi kali kabisa...
Madogo wanapenda kutishana humu kwa kitu ambacho wakulungwa washakijadili humu tena miaka ile ambayo inatisha zaidi since 2013.
Hadi nikashangaa hadi ww mkulungwa umeanza kutishwaππ
Kweli kitu kikirudiwa mara nyingi, mwishowe huonekana ni ukweli
How mkulungwa? Explain and justify ππππππππ Nimegundua kuna tofauti kubwa sana ukiwa bachelor na ukiwa na familia.
Ukishakuwa na watu wanakutegemea utayatazama maisha kwa dimensions tofauti sana ikiwemo na kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha yako.How mkulungwa? Explain and justify π
Utanyooka tu utake usitakePEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.
Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.
Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.
Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,
Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.
Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.
Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.
Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.
Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.
Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.
Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.
Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.
Msaada wenu please niko Dar