Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

Mwandae kwa usafiri wa kasi usiku. Grand ma. Atakufundisha
 
Kweli huna akili kabisa
 
Ushauri wangu watafute tanapa wakupe kibali uendelee kukafuga au ukawakabidhi ukiendelea kukaa nako au kukaua au kakakufia ni kesi ,
 
Nimecheka kwa nguvu!!
 
Huyo Ni puppy
 
Si tutakamatwa kwa ujangili? Kesho ntaamka saa kumi alfajiri, kwa kuwa siendi kazini nitakabwaga maeneo ya Coco Beach, sitaki kesi mie
[emoji23][emoji23]Na jinsi nchi hii ilivyo, hawawacheleweshi aisee, Yule Shujaa Majaliwa anakwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kuiba injini, breki na saiti mila za ndege[emoji23]
 
Fisi anakaaje mjini,anyway acha tucheke tu koz umetuletea kituko humu.
 
Mheshimu mumeo na vihela vyako mifugo acha anunue mumeo
Alitaka kum surprise Mumewe,akajikuta yeye ndiyo anakua surprised na Mumewe, Wanawake wengi akisha kua na visenti kidogo hata ushauri hataki tena! Sasa angemshirikisha Mumewe kabla hajamnunua si angemuokoa na huyo fisi wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…