Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli huna akili kabisaView attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Chama lenu la upinde linaenea kwa kasi.Hata kama, ndio u screenshot Picha ya Mtoto Fisi [emoji849]
Mama tuwasiliane nitakurudishia hela yako namhitaji huyo fisi.Njoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Nimecheka kwa nguvu!!View attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Huyo Ni puppyView attachment 2413508

[emoji23][emoji23]Na jinsi nchi hii ilivyo, hawawacheleweshi aisee, Yule Shujaa Majaliwa anakwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kuiba injini, breki na saiti mila za ndege[emoji23]Si tutakamatwa kwa ujangili? Kesho ntaamka saa kumi alfajiri, kwa kuwa siendi kazini nitakabwaga maeneo ya Coco Beach, sitaki kesi mie
TrueMheshimu mumeo na vihela vyako mifugo acha anunue mumeo
Si tutakamatwa kwa ujangili? Kesho ntaamka saa kumi alfajiri, kwa kuwa siendi kazini nitakabwaga maeneo ya Coco Beach, sitaki kesi mie
Fisi anakaaje mjini,anyway acha tucheke tu koz umetuletea kituko humu.View attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Ikifika usiku sana nenda kamtupe pale Ikulu ya Magogoni kuna Wanyama wengi tu humo!!Naanzaje, mwisho ntasingiziwa hata kumiliki bunduki na meno ya tembo
Waite mali asiliNjoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Hawa hata chui hawaoni tofauti yake na pakaHuyo ni fisi 100 [emoji2][emoji2][emoji2]
Alitaka kum surprise Mumewe,akajikuta yeye ndiyo anakua surprised na Mumewe, Wanawake wengi akisha kua na visenti kidogo hata ushauri hataki tena! Sasa angemshirikisha Mumewe kabla hajamnunua si angemuokoa na huyo fisi wake!!Mheshimu mumeo na vihela vyako mifugo acha anunue mumeo
[emoji817]