Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #101
Naogopa kesi jamaniWaite mali asili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naogopa kesi jamaniWaite mali asili
Bonda afe ukishindwa mtafutie sumu weka kwenye chakula afe ,baada hapo fukia sehemu kazikwishaNaanzaje, mwisho ntasingiziwa hata kumiliki bunduki na meno ya tembo
Si panalindwa na Banyamulenge, au walisha rudishwa kwao?Ikifika usiku sana nenda kamtupe pale Ikulu ya Magogoni kuna Wanyama wengi tu humo!!
Yesiwe mengi, kesho alfajiri Coco Beach panamhusuBonda afe ukishindwa mtafutie sumu weka kwenye chakula afe ,baada hapo fukia sehemu kazikwisha
Hee.... wee baba vipiiii? Unanitega mitego ya kizamani nipewe kesi ya ujangili? Simwamini mtuAcha ukatili mama nipate mimi huyo fisi, nitakulipa 50k
Kesho alfajiri atakuwa mkazi wa Coco BeachJitahidi umtoe mapema Mali Asili wakimkuta hapo utakuwa na kesi ya kujibu
Hawashindwi kitu[emoji23][emoji23]Na jinsi nchi hii ilivyo, hawawacheleweshi aisee, Yule Shujaa Majaliwa anakwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kuiba injini, breki na saiti mila za ndege[emoji23]
Vyema rafikiKesho alfajiri atakuwa mkazi wa Coco Beach
Mbona mnanisakama jamani?Alitaka kum surprise Mumewe,akajikuta yeye ndiyo anakua surprised na Mumewe, Wanawake wengi akisha kua na visenti kidogo hata ushauri hataki tena! Sasa angemshirikisha Mumewe kabla hajamnunua si angemuokoa na huyo fisi wake!!
Ungeomba ushauri kwa Wema alimpataje ManunuMbona mnanisakama jamani?
Aende Coco Beach kesho saa nne mchana atamkutaKuna jamaa hapa nimrmuodekezea hilo swala amesema yupo tayari kukupa 500K ampate huyo Fisi-amesema Pumbu za fisi zinatibu tatizo la nguvu za kiume.
Ila usiende kumtupa peke yako,nenda na Mume wako, ukienda mwenyewe unaweza rukiwa na wazushi wakakutoa pesa ndefu!!Kesho alfajiri atakuwa mkazi wa Coco Beach
Asante kwa ushauri mzuri.Ila usiende kumtupa peke yako,nenda na Mume wako, ukienda mwenyewe unaweza rukiwa na wazushi wakakutoa pesa ndefu!!