Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

Kuna jamaa hapa nimrmuodekezea hilo swala amesema yupo tayari kukupa 500K ampate huyo Fisi-amesema Pumbu za fisi zinatibu tatizo la nguvu za kiume.
 
Alitaka kum surprise Mumewe,akajikuta yeye ndiyo anakua surprised na Mumewe, Wanawake wengi akisha kua na visenti kidogo hata ushauri hataki tena! Sasa angemshirikisha Mumewe kabla hajamnunua si angemuokoa na huyo fisi wake!!
Mbona mnanisakama jamani?
 
Back
Top Bottom