Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

[emoji28][emoji28] naanzaje kushindwa. Wale mbwa mwitu wangu unawajua vizuri. Nikipata na fisi itapendeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana nikasema hushindwi
 
Back
Top Bottom