Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Binafsi hata mimi hapana Auntie..Me na uwoga wangu hizo mambo acha niwaachie nyie auntie
Mbwa na Adui yake Paka..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi hata mimi hapana Auntie..Me na uwoga wangu hizo mambo acha niwaachie nyie auntie
🙂🙂 utaki usumbufu wa kuombwa shekeliAaaaah hilo neno mwishoni huko Hapana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana nikasema hushindwi[emoji28][emoji28] naanzaje kushindwa. Wale mbwa mwitu wangu unawajua vizuri. Nikipata na fisi itapendeza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi kuna kitu fulani ninacho, nakuwaga mwoga wa kusema ukweli, kwa mfano hii ni stori ya uongo ila naogopa kusema ii ni uongo.
Hapana...ila sipendi..[emoji846][emoji846] utaki usumbufu wa kuombwa shekeli
Auntie we ni mimi kabisa yaani nimeshindwa hizo mambo jamani acha tu nibaki na uwoga wangu na ushamba wanguBinafsi hata mimi hapana Auntie..
Mbwa na Adui yake Paka..
Jamani mbona mnanifanya mwenzenu kituko?njoo upate vitu vizuri kutoka kwangu,nauza mbwakuku siku za kawaida analinda sikukuu unachinja
🫠🫠 stupo mtaani tunashangaaa mjiniHapana...ila sipendi..
Uko aje lakini?
Mimi hata vile vya kina Wema hapana aiseee...Auntie we ni mimi kabisa yaani nimeshindwa hizo mambo jamani acha tu nibaki na uwoga wangu na ushamba wangu
Hahaahah sema tu mkuuMi kuna kitu fulani ninacho, nakuwaga mwoga wa kusema ukweli, kwa mfano hii ni stori ya uongo ila naogopa kusema ii ni uongo.
Nimemuwekea tangawizi hapo ajaribu kukoleza kidogo ipate ladhaChai ya maji tupu, hamna hata tangawizi 😂
Sawa Mkijana....🫠🫠 stupo mtaani tunashangaaa mjini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me hata mende tu panya naogopaMimi hata vile vya kina Wema hapana aiseee...
Pole Auntie...
🤣🤣🤣Shepu
Naanzaje, mwisho ntasingiziwa hata kumiliki bunduki na meno ya temboWakikuona itakuaje chakufanya rudisha serikalini ili wakusaidie chakufanya watakushukuru pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me hata mende tu panya naogopa
Manina. Mji mpana sana huuMpaka bulb zilizoungua zinawateja pia
Huyo akikua mnaweza kumtumia kwenye mambo yetu yale [emoji23] Mshana JrNjoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka