marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Chai nzito hii..Kama unatumia app utaona hapo file name ni screen shot.Hiki kifisi kilisambaa sana mtandaoni kipindi fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai nzito hii..Kama unatumia app utaona hapo file name ni screen shot.Hiki kifisi kilisambaa sana mtandaoni kipindi fulani
Sio mtego mama, mie nawatunza hapa kambini, huwa nawakusanya na kuwafuga na wanazaliana kwa wingi, so namtaka huyo tuelewane tu hakuna kesi ya ujangili hapo, niamini.Hee.... wee baba vipiiii? Unanitega mitego ya kizamani nipewe kesi ya ujangili? Simwamini mtu
Chai nzito hii..Kama unatumia app utaona hapo file name ni screen shot.
Halafu sikujua kama ni Chama [emoji23]Chama lenu la upinde linaenea kwa kasi.
Fisi anakaaje mjini,anyway acha tucheke tu koz umetuletea kituko humu.
Kumbe. 🤣🤣Hii memes imetembea sana watsup na Instagram
Usimuuze wala kumgawa kwa mtu.View attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja...
Umeuziwa fisi kweny guniaView attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Coco Beach utakamatwa na walinzi, Bora umrudishe Serikalini, hawatakukamata, watafanya utaratibu wa kumrudisha, asije akadhuru watuSi tutakamatwa kwa ujangili? Kesho ntaamka saa kumi alfajiri, kwa kuwa siendi kazini nitakabwaga maeneo ya Coco Beach, sitaki kesi mie
Shemeji yetu chapombe Kama ulivosema Jana karudi kashindwa hatakwenda kuhakiki mbwa ,ndani anamudu kweli unywaji Sana wapombe huathiri mfumoYesiwe mengi, kesho alfajiri Coco Beach panamhusu
Kweli?Hii ni kamba ipo na Twitter
Hatari hiyo fisi nyumbani dah!View attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja...