kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kama una uhakika mimba ni yako mpokee tu muanze maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unamuendekeza mzinzi na malaya huyu ahalibu watoto wa watu,filiria angekua mdogo wako wa kike Au mwanao anafanyiwa haya ma ujingaAfadhali hata wewe unakuja vzr
Maadam ni nyumba ya kupanga, kuwa katili hama kmyakimya chukua nguo zako kidogokidogo vingine muachie anza upya kodi ikiisha atarudi kwaoNiliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja akapita na mambo yake japo siku kadhaa kabla ya kuachana aliwahi kunidokezea kuwa anahisi ana mimba yangu. Sikufikiria kitu kwa vile hakuwa na uhakika na hali ile.
Bas bwana, zikapita siku nne baada ya kuachana akaomba tuonane. Sikukataa na nilifanya hivyo. Alinipa taarifa rasmi kuwa amefanya UPT na majibu yanaonesha ni kweli amebahatika kuwa na mimba japo haukuwa mpango wetu.
Nilipokea taarifa kisha kila mtu akaendelea na mambo yake.
Baada ya muda aliomba tuende clinic ya kwanza kama yalivyo maelekezo ya wadau wa afya kuwa mahudhurio ya kwanza ni lazima waende wahusika wa ujauzito kwa ajili ya vipimo. Hapo nilichenga kulingana na nature ya kazi yangu..... niko busy sana mda mwingi. Siku zilisonga na alipewa barua ya kumruhusu kusajiliwa na kuanza clinic bila ya uwepo wangu.
Juzi nipo zangu kwangu (japo nimepanga) nikiwa napumzika mara paap!! Mabegi na mazagazaga yote ya yule mwanamke. Alipita hadi ndani kisha akawa mkali na maneno makali sana. Alinipa uhakika kuwa ameamua ahamie kwangu rasmi kwa sababu ya mimba japo sikuwahi kukataa kumtunza na kuilea mimba. Ila kiufupi ni kuwa nimevamiwa na mke.
Binafsi sijakubaliana na hii hali na sikumwonesha mwitikio hasi juu ya maamuz yake yaliouchukiza moyo wangu.
Sasa wadau hizi scenario huwa mnazitatuaje asee. Me sielewi yani ila nataka nimtoe niendelee na maisha ya kivyangu na nimtunze akiwa kwao hukohuko.
Karibuni kwa maoni
NO sio sahihi kuacha kila kitu kwa malaya angekuwa mke saw. Anachopaswa kufanya aongee na washikaji zake awaambie waje watoe kila kitu cha muhimu cha jamaa kisha wapeleke geto jingine ndo jamaa ahamie huko yani aondoe kila nguo na vitu vya muhimu.Shtuka mapema,mwachie kila kitu ukaanze maisha pengine huku unamuhudumia,ikiwezekana tafuta wakili akusaidie,hakuna raha yoyote kuishi na mtu wakati hukutaka.
Namuunga mkono abanane hapo hapoNilimweleza kuwa hapa ni nyumba ya mtu. Akadai kuwa watabanana humuhumu
Pia unaweza kukaa naye hadi akikaribia kujifungua huwa wanaenda kwa mama zao na wakijifungua hupenda kukaa hu ko miezi kadhaa halo we we ndo unaamsha.Afadhali hata wewe unakuja vzr
M A L A Y A🤔NO sio sahihi kuacha kila kitu kwa malaya angekuwa mke saw. Anachopaswa kufanya aongee na washikaji zake awaambie waje watoe kila kitu cha muhimu cha jamaa kisha wapeleke geto jingine ndo jamaa ahamie huko yani aondoe kila nguo na vitu vya muhimu.
Muhimu siku wanahama jamaa atokee nae out kisha awe anawasiliana na jamaa zake kwa sms wakati wa kurudi yeye na malaya wake amwambie tangulia home napita kwa J mara moja kisha baada ya muda amwambie mimi hapo ni mehama nimekuachia wewe maana umekuja kishari sijajua umekuja kwa nia gani kwangu nahofia usalama wangu. Ishi hapo mimba nitahudumia kama kawaida kisha piga kimyaa
Kweli akili zako zipo kwenye masaburi unawezaje kumuita mwenamke uliyempa mimba malaya?kwani wakati unakojoa hukujua kuna mimba itaingia?bro huyo ashakuwa mkeo tayari hapo ni mipango ya maisha ianze mara mojaNO sio sahihi kuacha kila kitu kwa malaya angekuwa mke saw. Anachopaswa kufanya aongee na washikaji zake awaambie waje watoe kila kitu cha muhimu cha jamaa kisha wapeleke geto jingine ndo jamaa ahamie huko yani aondoe kila nguo na vitu vya muhimu.
Muhimu siku wanahama jamaa atokee nae out kisha awe anawasiliana na jamaa zake kwa sms wakati wa kurudi yeye na malaya wake amwambie tangulia home napita kwa J mara moja kisha baada ya muda amwambie mimi hapo ni mehama nimekuachia wewe maana umekuja kishari sijajua umekuja kwa nia gani kwangu nahofia usalama wangu. Ishi hapo mimba nitahudumia kama kawaida kisha piga kimyaa
Una jambo kakaNO sio sahihi kuacha kila kitu kwa malaya angekuwa mke saw. Anachopaswa kufanya aongee na washikaji zake awaambie waje watoe kila kitu cha muhimu cha jamaa kisha wapeleke geto jingine ndo jamaa ahamie huko yani aondoe kila nguo na vitu vya muhimu.
Muhimu siku wanahama jamaa atokee nae out kisha awe anawasiliana na jamaa zake kwa sms wakati wa kurudi yeye na malaya wake amwambie tangulia home napita kwa J mara moja kisha baada ya muda amwambie mimi hapo ni mehama nimekuachia wewe maana umekuja kishari sijajua umekuja kwa nia gani kwangu nahofia usalama wangu. Ishi hapo mimba nitahudumia kama kawaida kisha piga kimyaa
Yeye alikwambia ana mpango wa kuwa single mother?Sikuwa tayari kuanza nae maisha tatzo
Asante watu wengine sijui mpojeYeye alikwambia ana mpango wa kuwa single mother?
Anahis mwenzie alitaka awe single mamaAsante watu wengine sijui mpoje