Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikwambia ni safe?Nilichomeka nikijua ni safe day. Uzembe wake tu
Yeye tamaa hakua nazo?Hiv inakuwaje mnakaa kabisa na mtu ambae hauna mpango nae. Hebu fikiria angekuwa mwanao ungefurahia aaribikiwe maisha kabisa. Unaenda kumfanya mtoto wa mtu mzinzi mazima kwa tamaa zako.
Wazinzi mna raha sana, yaani mwanamke anaileta mwenyewe kwa lazima wakati sisi wengine tunahangaika kujidhalilisha humu jf tunatafuta wake kwa tochi hakuna hata wa kunisalimia kweli!Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja akapita na mambo yake japo siku kadhaa kabla ya kuachana aliwahi kunidokezea kuwa anahisi ana mimba yangu. Sikufikiria kitu kwa vile hakuwa na uhakika na hali ile.
Bas bwana, zikapita siku nne baada ya kuachana akaomba tuonane. Sikukataa na nilifanya hivyo. Alinipa taarifa rasmi kuwa amefanya UPT na majibu yanaonesha ni kweli amebahatika kuwa na mimba japo haukuwa mpango wetu.
Nilipokea taarifa kisha kila mtu akaendelea na mambo yake.
Baada ya muda aliomba tuende clinic ya kwanza kama yalivyo maelekezo ya wadau wa afya kuwa mahudhurio ya kwanza ni lazima waende wahusika wa ujauzito kwa ajili ya vipimo. Hapo nilichenga kulingana na nature ya kazi yangu..... niko busy sana mda mwingi. Siku zilisonga na alipewa barua ya kumruhusu kusajiliwa na kuanza clinic bila ya uwepo wangu.
Juzi nipo zangu kwangu (japo nimepanga) nikiwa napumzika mara paap!! Mabegi na mazagazaga yote ya yule mwanamke. Alipita hadi ndani kisha akawa mkali na maneno makali sana. Alinipa uhakika kuwa ameamua ahamie kwangu rasmi kwa sababu ya mimba japo sikuwahi kukataa kumtunza na kuilea mimba. Ila kiufupi ni kuwa nimevamiwa na mke.
Binafsi sijakubaliana na hii hali na sikumwonesha mwitikio hasi juu ya maamuz yake yaliouchukiza moyo wangu.
Sasa wadau hizi scenario huwa mnazitatuaje asee. Me sielewi yani ila nataka nimtoe niendelee na maisha ya kivyangu na nimtunze akiwa kwao hukohuko.
Karibuni kwa maoni
Ili awe singlemomhama nyumba muachie kila kitu ubaki kumuhudumia.
kwako kuishi na mwanaume asiyekutaka ni bora kuliko kuwa single mother?Ili awe singlemom
Basi msitongozane mkuukwako kuishi na mwanaume asiyekutaka ni bora kuliko kuwa single mother?
Noamba univamie kwangu...Basi msitongozane mkuu
Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja akapita na mambo yake japo siku kadhaa kabla ya kuachana aliwahi kunidokezea kuwa anahisi ana mimba yangu. Sikufikiria kitu kwa vile hakuwa na uhakika na hali ile.
Bas bwana, zikapita siku nne baada ya kuachana akaomba tuonane. Sikukataa na nilifanya hivyo. Alinipa taarifa rasmi kuwa amefanya UPT na majibu yanaonesha ni kweli amebahatika kuwa na mimba japo haukuwa mpango wetu.
Nilipokea taarifa kisha kila mtu akaendelea na mambo yake.
Baada ya muda aliomba tuende clinic ya kwanza kama yalivyo maelekezo ya wadau wa afya kuwa mahudhurio ya kwanza ni lazima waende wahusika wa ujauzito kwa ajili ya vipimo. Hapo nilichenga kulingana na nature ya kazi yangu..... niko busy sana mda mwingi. Siku zilisonga na alipewa barua ya kumruhusu kusajiliwa na kuanza clinic bila ya uwepo wangu.
Juzi nipo zangu kwangu (japo nimepanga) nikiwa napumzika mara paap!! Mabegi na mazagazaga yote ya yule mwanamke. Alipita hadi ndani kisha akawa mkali na maneno makali sana. Alinipa uhakika kuwa ameamua ahamie kwangu rasmi kwa sababu ya mimba japo sikuwahi kukataa kumtunza na kuilea mimba. Ila kiufupi ni kuwa nimevamiwa na mke.
Binafsi sijakubaliana na hii hali na sikumwonesha mwitikio hasi juu ya maamuz yake yaliouchukiza moyo wangu.
Sasa wadau hizi scenario huwa mnazitatuaje asee. Me sielewi yani ila nataka nimtoe niendelee na maisha ya kivyangu na nimtunze akiwa kwao hukohuko.
Karibuni kwa maoni
Nakuja week hili ila kwa sababu ni uvamizi sitaji sikuNoamba univamie kwangu...
Hali uliyo nayo inahitaji utulivu na mawasiliano wazi;Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja akapita na mambo yake japo siku kadhaa kabla ya kuachana aliwahi kunidokezea kuwa anahisi ana mimba yangu. Sikufikiria kitu kwa vile hakuwa na uhakika na hali ile.
Bas bwana, zikapita siku nne baada ya kuachana akaomba tuonane. Sikukataa na nilifanya hivyo. Alinipa taarifa rasmi kuwa amefanya UPT na majibu yanaonesha ni kweli amebahatika kuwa na mimba japo haukuwa mpango wetu.
Nilipokea taarifa kisha kila mtu akaendelea na mambo yake.
Baada ya muda aliomba tuende clinic ya kwanza kama yalivyo maelekezo ya wadau wa afya kuwa mahudhurio ya kwanza ni lazima waende wahusika wa ujauzito kwa ajili ya vipimo. Hapo nilichenga kulingana na nature ya kazi yangu..... niko busy sana mda mwingi. Siku zilisonga na alipewa barua ya kumruhusu kusajiliwa na kuanza clinic bila ya uwepo wangu.
Juzi nipo zangu kwangu (japo nimepanga) nikiwa napumzika mara paap!! Mabegi na mazagazaga yote ya yule mwanamke. Alipita hadi ndani kisha akawa mkali na maneno makali sana. Alinipa uhakika kuwa ameamua ahamie kwangu rasmi kwa sababu ya mimba japo sikuwahi kukataa kumtunza na kuilea mimba. Ila kiufupi ni kuwa nimevamiwa na mke.
Binafsi sijakubaliana na hii hali na sikumwonesha mwitikio hasi juu ya maamuz yake yaliouchukiza moyo wangu.
Sasa wadau hizi scenario huwa mnazitatuaje asee. Me sielewi yani ila nataka nimtoe niendelee na maisha ya kivyangu na nimtunze akiwa kwao hukohuko.
Karibuni kwa maoni
Lakini mimba ni yako? 😅 kwani ulikua humpendiNiliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.