Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuwahi sikia kitu kinaitwa condom?Hapana. Tulikubaliana tusizae tu kwa sasa. More over tuliachana
AiseeWanawake huwa tunaogopa Mimba na sio ikimwi pole
Pambana na hali yako sasa.Aisee
Kama haukuwa na malengo naye ilikuwaje hapo mwanzo ukaishi naye kinyumba?Bora mzunguko uendelee mkuu ila siwez kuishi na mtu ambaye sikuwa na malengo naye
Maisha Yako yote yatakuwa vurugu umalaya ni laana huo ni mwanzo tu mengi mabaya yanakuja kwako umeshaharibu CV yakopost: 53061105, member: 692793"]Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja akapita na mambo yake japo siku kadhaa kabla ya kuachana aliwahi kunidokezea kuwa anahisi ana mimba yangu. Sikufikiria kitu kwa vile hakuwa na uhakika na hali ile.
Bas bwana, zikapita siku nne baada ya kuachana akaomba tuonane. Sikukataa na nilifanya hivyo. Alinipa taarifa rasmi kuwa amefanya UPT na majibu yanaonesha ni kweli amebahatika kuwa na mimba japo haukuwa mpango wetu.
Nilipokea taarifa kisha kila mtu akaendelea na mambo yake.
Baada ya muda aliomba tuende clinic ya kwanza kama yalivyo maelekezo ya wadau wa afya kuwa mahudhurio ya kwanza ni lazima waende wahusika wa ujauzito kwa ajili ya vipimo. Hapo nilichenga kulingana na nature ya kazi yangu..... niko busy sana mda mwingi. Siku zilisonga na alipewa barua ya kumruhusu kusajiliwa na kuanza clinic bila ya uwepo wangu.
Juzi nipo zangu kwangu (japo nimepanga) nikiwa napumzika mara paap!! Mabegi na mazagazaga yote ya yule mwanamke. Alipita hadi ndani kisha akawa mkali na maneno makali sana. Alinipa uhakika kuwa ameamua ahamie kwangu rasmi kwa sababu ya mimba japo sikuwahi kukataa kumtunza na kuilea mimba. Ila kiufupi ni kuwa nimevamiwa na mke.
Binafsi sijakubaliana na hii hali na sikumwonesha mwitikio hasi juu ya maamuz yake yaliouchukiza moyo wangu.
Sasa wadau hizi scenario huwa mnazitatuaje asee. Me sielewi yani ila nataka nimtoe niendelee na maisha ya kivyangu na nimtunze akiwa kwao hukohuko.
Karibuni kwa maoni
Sasa kwa nini ulimwagia ndani?Sikuwa tayari kuanza nae maisha tatzo
Sikuwahi kuishi naye kinyumba. Tulikuwa tunapiga hit and runKama haukuwa na malengo naye ilikuwaje hapo mwanzo ukaishi naye kinyumba?
Hilo ni swali la msingi sana watu wanakuuliza lakini unalikwepa aidha kwa kutaka kutetea ufisadi wako.
Ko hunishauri jambo zaid ya kunichana au sioSasa kwa nini ulimwagia ndani?
Wewe shukuru sana upo Afrika ambapo wanawake hawajui haki zao na wanakandamizwa.
Ungejua Ulaya au Amerika sasa hivi ungekuwa unalia na kusaga meno.
ungepigwa child support , adhabu na faini juu.
Ukishindwa ku control nyege zako, Afadhali upige nyeto kuliko kuzalisha mwanamke halafu ukaanza kona kona.
Kulea na kutunza sijakataa mkuu. Ishu ni namna ya kumtoa geto arudi kwao tu. Pesa za matunzo sisumbi hata kidogoMleta mada kama ulikuwa Huna mpango naye kwanini hulifanya ngono zembe
Tunacho angalia ni kumbe kisicho na hatia tunza hiyo mimba na ulee huyo mtoto
Watoto ni baraka, usikubali ateseke akiwa bado tumboni, mama akiangaika na mtoto anateseka kisaikologia
mlitumia kalenda au ulichomeka tu?Nliskia mambo ya kalenda mkuu