Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

Maadam ni nyumba ya kupanga, kuwa katili hama kmyakimya chukua nguo zako kidogokidogo vingine muachie anza upya kodi ikiisha atarudi kwao
 
Face the consequences of your actions.
Take care of your baby mama.
Your unborn child needs you alot. After delivery you will be free to decide either to part ways with the mother of your child or stay with her and raise your child together.
 
Shtuka mapema,mwachie kila kitu ukaanze maisha pengine huku unamuhudumia,ikiwezekana tafuta wakili akusaidie,hakuna raha yoyote kuishi na mtu wakati hukutaka.
NO sio sahihi kuacha kila kitu kwa malaya angekuwa mke saw. Anachopaswa kufanya aongee na washikaji zake awaambie waje watoe kila kitu cha muhimu cha jamaa kisha wapeleke geto jingine ndo jamaa ahamie huko yani aondoe kila nguo na vitu vya muhimu.

Muhimu siku wanahama jamaa atokee nae out kisha awe anawasiliana na jamaa zake kwa sms wakati wa kurudi yeye na malaya wake amwambie tangulia home napita kwa J mara moja kisha baada ya muda amwambie mimi hapo ni mehama nimekuachia wewe maana umekuja kishari sijajua umekuja kwa nia gani kwangu nahofia usalama wangu. Ishi hapo mimba nitahudumia kama kawaida kisha piga kimyaa
 
M A L A Y A🤔
 
Kweli akili zako zipo kwenye masaburi unawezaje kumuita mwenamke uliyempa mimba malaya?kwani wakati unakojoa hukujua kuna mimba itaingia?bro huyo ashakuwa mkeo tayari hapo ni mipango ya maisha ianze mara moja
 
Una jambo kaka
 
Tumia mbinu ulizoingilia kuweza kujiondoa au kuendelea..., Asikudanganye mtu ni nyie pekee mnaoweza kuyamaliza au kuyaendeleza..., na kama ni chizi jifunze kufanya due dilligence sababu ukishayavulia lazima uyaoge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…