Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

Huyo anapanga kumkimbia mtoto wa watu,huoni hapo ameshauriwa amrudishe kisha ahame anapokaa ili demu asijue akacheka na kufurah kwamba amepata suluhisho
Sio kumkimbia, wanawake mara nyingine akili zao wanazijuwaga wenyewe ; yaani mtu toka mwanzo lengo la kuishi naye hakuwa nalo Sasa yeye kajileta kwa nguvu ili iwaje?
 

Wala sio wa kumbembeleza hivyo huyo ni wa kutukana, aelewe badae atakuja kulalamika natafuta mtoto na mke wangu hashiki mimba kumbe kuna vingine umevitoa huko huko ujanani.

Lea mama na mimba yake tena ujiandae kutoa mahari umbwa mmoja wewe.
Kesho atajipanga hapa kutukana single mother.
 
Sio kumkimbia, wanawake mara nyingine akili zao wanazijuwaga wenyewe ; yaani mtu toka mwanzo lengo la kuishi naye hakuwa nalo Sasa yeye kajileta kwa nguvu ili iwaje?
Unashindwa Nini kumwambia mwanamke kwamba sitaki Tupate mtoto na wewe?
Unamuogopa? Mwambie ukweli kwamba sitaki mtoto kwa sasa.na uzuri wanawake wakiona hutaki wanavyotaka wanaondokaga Maskini wa Mungu.
 
Unashindwa Nini kumwambia mwanamke kwamba sitaki Tupate mtoto na wewe?
Unamuogopa? Mwambie ukweli kwamba sitaki mtoto kwa sasa.na uzuri wanawake wakiona hutaki wanavyotaka wanaondokaga Maskini wa Mungu.
Kasema atalea, sasa hapo ulitaka aseme hataki mtoto ili ajiingize kwenye hatia ya kujustify kutoa mimba?!
Mtoto atalea lakini hayupo tayari kutengeneza maisha na huyo mwanamke
 
Wanaume tukianza kuthamini mbegu, tukaacha kuzimwaga kwa mwanamke yeyote, jamiii itapata watoto wenye akili mno.
 
Alipaswa atumie kinga kukwepa kero ndogondogo
Kumkimbia sio dawaa
 
Nilimtongoza kwa sababu nilikuwa na maumivu ya kuachana na mke wangu. Niliamini mbususu na urembo wake ungenisaidia kumsahau yule nilompenda. Ila ndo hivo amejipa umwamba
Pole
 
Dah!! Huyu ni binti flani wa kishua na kwao ni kama vile geti kali
 
Una maneno ya kunifikirisha mara 2 cacutee. Nimependa ushauri wako
 
Sasa mbona bado unakuwa muoga wa maisha kama mtu mwenye miaka 17.
Jambo limeshatokea huna budi kudili nalo hapo hakuna kikwazo cha msingi maana ulishasema kwamba mmeachana na mkeo wa zamani.
Kumtelekeza huyo mwanamke itakuwa ni muendelezo wa kuzalisha single mothers na watoto machokoraa bila sababu za kueleweka..
Huo mzigo ni wako pambana nao
 
Inaelekea we ni kivuruge.

Hama hapo haraka kwa upesi toka mbio za ngiri mkia juu kinye... nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…