Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Uvumilivu uki kithiri, mwisho unakua mjinga....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Kila binadamu mwenye akili timamu, lazima akuwe na kikomo cha mwisho wa uvumilivu....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]hatari sana.Wapo,kuna mmoja anaishi kigogo alikuwa mama mwenye Nyumba wangu,wapangaji mabachela tulikuwa tunaulizana tu zamu ya nani Leo?
sent from kanyau
MmmmhWapo,kuna mmoja anaishi kigogo alikuwa mama mwenye Nyumba wangu,wapangaji mabachela tulikuwa tunaulizana tu zamu ya nani Leo?
sent from kanyau
mkuu umenyakua nafasi na avatar ya mwenzetu?..au umebadili jina?
sometimes its hard darling..unapokumbuka changamoto mlizopitia hadi kufikia hapo unashindwa kabisa kuanza upya.Bora kumvumilia na kuwa na imani siku moja atabadilika.Doooh huyo sio mke bali gumegume, bora umrudishe kwa wazazi wake
[emoji102] [emoji101]mkuu umenyakua nafasi na avatar ya mwenzetu?..au umebadili jina?
watu wanavumilia mengi basi tu..Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...
Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
Mix story sana au umeandika ukiwa na jazba sijuiSalaam,
Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.
Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.
Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.
Uvumilivu umenishinda
Not possible! mwanamke wa kufanya hivyo hayupo.Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...
Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini