madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
- #61
unamueleza anakuitikia lakini hasikiiNi kweli umejaribu kuvumilia sana lakini akiwa hajalewa hukai naye na kuzungumza haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamueleza anakuitikia lakini hasikiiNi kweli umejaribu kuvumilia sana lakini akiwa hajalewa hukai naye na kuzungumza haya?
Rudi kwenye uziumesema????? ananuka choo?
Huyu mke atakuwa anamlea jamaa tu.. Sio bure, mwanaume mwenye nguvu zake na uwezo wa kutengeneza kipato hawezi vumilia upuuzi wote huo.
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...
Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
kuipata pepo ni kazi sana na ni rahisiduu! We jamaa una roho ngumu mkeo anarudi hom bila nguo na bado unalala nae kitanda kimoja???
Salaam,
Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.
Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.
Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.
Uvumilivu umenishinda
[emoji102] [emoji101]Josee amerudi na id nyingi kweli kweli
Even a black folk hate to see another nigga made it..
Afadhali uwe mkweli tuu...
Antie Umeonaee.... Mwanamke wa hivyo hakuna kabisaaNgumu kumesa!
DuuuhSakayo kuna mwanamke wa hvyo sehem nayoishi mie ! tena shoga ukimuona hv humdhanii ! dada anakunywa pombe had pombe inamuogope harud kwake, anaeza kata week nzima yuko kitaa ! akitoka nje ukimuona kwenye rav 4 yake utabishaaaaaaaa ! anarudishwa na wanaume akiwa hajitambui !hv muda km huu anaweza kuwa ashalewa anakata tu mauno bar! mie nimeshuhuduia kwa macho yangu mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeee! dada mzuri anajicho zuri km la mama samia ! anajikwtua utampenda nwenyewe ! akiskia neno pombe ananyanyuka ! anachanganya pombe aina km 4 anakunywa ! jaman haongeag yule dada !!ukiambiwa mumewe profesa huez amini ! jumapili anakutumia picha yuko na mumewe kanisani jaman huwa nachekahad nakaa chini !mwokovu !uwiii wapo shogaaa !
huyu mtoa mada angetaja mkoa mwingne(anaomrudisha) tu ningejua ndo yeye !hahahha na mumewe msukuma heheheh! handsup SUKUMA
niliwah muuliza shida sana ni nn akasema mumewe kazaa na mdg ake wa damu !
TEMBEA UONE
Wanawake wa aina hii wapo mkuu,huku kitaa kuna mke wa mtu ana sifa zote alizotaja huyuHaya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...