Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Duuuh
Na mwanaume anavumilia tuu jamanii... Lakini huyoo nae tayari kuna linalomsukuma anywe, ingawa sio njia nzuri ya kulitatua tatizo.... Mleta mada kasema mkewe ana puuu kabisaa ndani..... Ndo maana Siamini ujue

mume mstaarab akija anamfungulia mlango analala !anamuosha anambadilisha nguo asbh unawaona wapo kwenye gar anamdrop job mume anaenda kazini !yaan km sio huyu sijui !sitak hata kumcheka !ni maisha ya ajabu sana
 
Aiseeee
Kuna watu wana changamotoo si kidogoo jamanii, Mungu awatie nguvu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabisa Sakayo, kwa asilimia kubwa ya wanaume hapa ni talaka tu au kutengana, lakini huyu bwana labda anawaonea huruma wanae kuishi bila mama yao.

Aiseeee
Kuna watu wana changamotoo si kidogoo jamanii, Mungu awatie nguvu
 
Nilimuoa kujaribu kumrekebisha tabia yake lakini duuh
Kumbe ya kujitakia basi hakuna haja ya pole ulijitia ubingwa na umekushinda. Umrekebishe ni binti yako kama walishindwa Wazazi weye uhodari ungeutoa wapi. Utajaza Thread tu hapa Jf mkuu kifupi pambana na hali yako.
 
Kabisa Sakayo, kwa asilimia kubwa ya wanaume hapa ni talaka tu au kutengana, lakini huyu bwana labda anawaonea huruma wanae kuishi bila mama yao.
Hiyo huruma mbona anawaumiza watoto zaidi sasa... Mtoto kuona mama kannya si fedheha hiyo jamanii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndiyo nimesema Sakayo kwa wanaume wengi issue hii haina mjadala ni talaka au kutengana milele lakini huyu bado inaelekea hajaweza kufanya maamuzi ya kunusuru furaha ya watoto wake na yeye mwenyewe. Mama kama huyu hastahili hata hadhi ya kuitwa mama. Jina la mama ni jina takatifu lisichezewe kiasi hiki.

Hiyo huruma mbona anawaumiza watoto zaidi sasa... Mtoto kuona mama kannya si fedheha hiyo jamanii
 
Back
Top Bottom