Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Uvumilivu uki kithiri, mwisho unakua mjinga....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Kila binadamu mwenye akili timamu, lazima akuwe na kikomo cha mwisho wa uvumilivu....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Wapo,kuna mmoja anaishi kigogo alikuwa mama mwenye Nyumba wangu,wapangaji mabachela tulikuwa tunaulizana tu zamu ya nani Leo?

sent from kanyau
Mmmmh
Huyo si anaishi bila mume????? Sasa mleta mada anasema ako na mke wa hivyo!!!! Hamna mwanaume mwenye kuvumilia hayo
 
duu! We jamaa una roho ngumu mkeo anarudi hom bila nguo na bado unalala nae kitanda kimoja???
 
Nyie mmtakuwa wahenga aisee, mara nyingi wanaovuta ugolo ni wahenga haswaa
 
Doooh huyo sio mke bali gumegume, bora umrudishe kwa wazazi wake
sometimes its hard darling..unapokumbuka changamoto mlizopitia hadi kufikia hapo unashindwa kabisa kuanza upya.Bora kumvumilia na kuwa na imani siku moja atabadilika.
 
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...

Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
watu wanavumilia mengi basi tu..
 
Mix story sana au umeandika ukiwa na jazba sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mkristo tulipoambiwa kila mtu na abebe msalaba wake basi na huo ni msalaba wako ni mzito kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…