Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,417
Reaction score
862
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda
 
salaam

jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro,pariki,mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi

nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa huomba msamaha na kusema harudii siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga,

sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao,hii ni safari namrudisha makete nimechoka wadau

uvumilivu umenishinda
Pole sana mkuu mrudishe uje uku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamishia grocery ndani!! Jaza ndani balimi, serengeti, pilsner, castle, kilimanjaro, konyagi, piwa, mbege, viroba n,k uone kama atatoka nje na kutorudi na chupi..
 
Mpeleke kwa wataalamu wa afya wamchunguze pengine watagundua kitu kwenye BRAIN yake
 
Hugo aidha ana pepo LA ulevi au maagano ya mizimu ya kwao. Kama uko Dar nenda Tegeta, shukia Tegeta Skanska halafu ulizia Kanisa LA Ukombozi LA Nabii Malisa, mkeo atafunguliwa na shidavyote hiyo itaisha. Kuna watu walikuwa na matatizo zaidi ya hayo wakapona kabisa. Siyo kwa akili zake anayoyafanya.Mhurumie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...

Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
Wapo,kuna mmoja anaishi kigogo alikuwa mama mwenye Nyumba wangu,wapangaji mabachela tulikuwa tunaulizana tu zamu ya nani Leo?

sent from kanyau
 
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda
Fix hizo... Hadithi za kufikirika... Mke atoke arudi bila nguo wewe bado unaitwa Mwanaume??? Ulikuwa wapi?? Yamefika mpaka hapo ulikuwa wapi??? Kasome kwanza utayakuta tu..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom