Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda
Pole sana mkuu
[emoji56] [emoji56] [emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mhenga !lakini kuna kauli zinachoma sana moyo !huwez jua moyon mwake anajua yy ndo cause thts y yupo nae had sasa
Mkuu usitetee ujinga suluhisho la tatizo hili ni kumuacha huyo mwanamke aendelee na maisha yake tu!
 
Dah..... Huyu majinga matupu...
Msaada: Sijawahi mpata mwenye bikira

Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
.muangalie marinda yako sawa kuna mmoja mtaani hapo yuko hivyo tukaja kujua shida nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda
Pole! Kwani mkuu ulipewa bure kama zindiko?! Kwa mapungufu yale katika para ya kwanza tu hukustahili kumsamehe!
Ni zindiko au laana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom