MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Kwa uandishi wa jamaa ni kweli yamemkuta. Na jamaa sio mtoto au mvulana wa shule bali mwanaume tena mwenye kifua kipana na ndio maana kavumilia hadi sasa.
NB: Kifua kipana sio kwa umbo bali kuwa na roho ya uvumilifu au ustahimilivu.
bora wewe umeelewa andika na comments zake tu unajua huyu ni kweli na anaumia!sio mvulana wala