MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Mke alie katika ndoa anywe kiasi kama kilichoelezwa! Sijui! Labda ni kama wengine walivyosema, hapo kuna jambo linalohitaji maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
huwajui wakinga kumbe! mie hii stry naiamini huyu kaka mie nimemuelewa nilikua napewa stry na watu nikawa sielewe kbs nilikuja kutanishwa na live na huyo dada na ni kabila langu dada hemuz mzania ! ni vile si poa kuweka pic ya mtu humu !
mi nnapoish yupo copy na huyu ! sema yye mambo safi balaa anaweza nunua konyagi,akamix na dompo akamix na bia akawa anakunywa !akilewa anaenda muziki ndo anapotelea huko huko mazima! unaweza mchek siku 4 nzm hapatikan anaibiwa mnoo simu lakin ihuez amini mwez huo huo mumewe anamnunulia simu matata !we acha tu !alafu jpl haoo kanisani ni walokole!