Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

Kama kuna zawadi ya uvumilivu, basi wewe unastahili ndugu.. [emoji111]️
 
Mpaka kifo kiwatenganishe

Wakati unaulizwa *unampenda ?* ukajibu ndiyo, ukaulizwa upo tayari ukajibu ndiyo, ukaulizwa kwa shida na raha , kwa magonjwa na afya ukasema ndiyo, siye tulishangilia tuuu.
Sasa leo unaongea nini. subiri kifo kiwatenganishe
Ndiyo mkataba unavyosema.
 
NAMUUNGA MKONO SAKAYO.HAKUNA MWANAMKE WA HIVYOOO ! WALA HAKUNA MWANAUME MVUMILIVU KIHIVYO.FAMILIA YA MAZINGIRA HAYO NA NDOA YA HIVYO INGEKUWA IMESHAKUFA KWA UKIMWI ZAMANI....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa hivi wapo kabisa. Mimi ni shuhuda wa mwanamke mmoja huku nako ishi. Huyu mwanamke kaolewa kabisa na ni mzuri wa sura na umbo (Shombeshombe). Anaweza muaga mume kwenda kwenye sherehe lakini akaishia kwenye mgegedo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka kifo kiwatenganishe

Wakati unaulizwa *unampenda ?* ukajibu ndiyo, ukaulizwa upo tayari ukajibu ndiyo, ukaulizwa kwa shida na raha , kwa magonjwa na afya ukasema ndiyo, siye tulishangilia tuuu.
Sasa leo unaongea nini. subiri kifo kiwatenganishe
Ndiyo mkataba unavyosema.
Hii ndio mikataba ya Kiafrika. Richmond, IPTL, Madini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipokuwa huko wengi wao, hasa wamama walio katika ndoa, hujiheshimu sana. Kama habari ya mdau ni ya kweli basi niungane na wadau wengine wanaosema huyo mama hatumii akili yake ya kawaida, anastahili maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si lazima wawe wote kama uliowaona wewe na ulijuaje kama wanatabia nzuri ulitumia kipimo gani
 
I wanted to say the something...

Ingawa ni matendo mabaya sana... Ila historia ya hayo matendo hufanywa na wanaume...

Sasa kwa mwanamke tena, mke wa mtu daah... Na mume wake hachukui hatua hata za kibabe kumrekebisha...

Inasikitisha sana...

Tell them....tell them my king..

Mahondaw wa Smart911
 
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda

"Kwa shida na Raha.."

Remember Bro, you PROMISED That...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo mnaweza mkasema ni story tu.lakini yawezekana yakawepo pia..sometimes wanawake ni kama computer zile za kizamani..yaani garbage in..garbage out....inawezekana wewe jamaa hapo zamani uliwahi kumfanyia kitu mbaaaya sana mkeo hadi ye kujiona hana thamani kwako...plus labda..narudia...labda hukumuomba msamaha kiasi cha yeye kuridhika...au ulifanya bonge la msala af ukaleta na ubabe...so mkeo anajiona hana thamani tena..sio kwako tu bali kwa jamii nzima inayomzunguka...ndio maana kumwacha au kumwadhibu inakuwa ishu coz ile hisia ya wewe kuwa na makosa bado inakutafuna...

Maana nimejiuliza kuwa hata kama ulimkuta ni mnywaji, hakuwa mlevi kiasi hicho ndo maana ukasema utamrekebisha...hakuna mtu aliyewahi kuoa the perfect woman 100%..bali huwa tunasema haya tunayoona madogo madogo tutarekebishana mbele ya safari...kama kuna mwenye the perfect wife 100% aje hapa aseme.....

Mkeo alianza kubadilika machoni mwako..na nina imani uliona dalili..10 yrs si mchezo..lazma umfahamu mtu vema...so ulimuona akibadilika na hukuchkua hatua yoyote..ndo maana nasema bado wewe ndo chanzo..

Nakushauri u flash back vema..naamini utapata chanzo cha hayo yote...au tafuta siku jifanye bwege tu...muulize umemkosea nini...tena kwa upole bila shari..umsikie..fanya hivyo mara nyingi hadi afunguke..utaokoa ndoa yako....

Hamna kitu inaniuma kama familia kuvunjika pasipo ulazima..Mshirikishe Mungu kwenye hilo atakufungulia..kama ulimkosea basi anza kutubu kwa Mungu kisha tubu kwa mkeo..

Kwa mtu ambaye hajaoa ni ngumu kukadiria maumivu unayopitia...ila kama ikishindikana..basi bwaga manyanga........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam,

Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye anatumia ndoo na siku nyingine anajisaidia bila kujua kwa ulevi.

Nilijaribu kuwaita ndugu na jamaa kuomba msamaha na kusema harudii, siku nyingine akitoka amevaa chupi harudi nayo mi navumilia mpaka niliamua kuwacha mlango wazi ili asinisumbue kugonga.

Sasa kali ni jana amerudi amelala ukumbini nguo hata moja hana na ananuka choo mpaka muda huu naona watoto pia hawajatoka vyumbani kwa kuogopa fedhea nahisi walitoka wakamuona mama yao, hii ni safari namrudisha Makete nimechoka wadau.

Uvumilivu umenishinda
Hongera mkuu unauvumilivu aisee..
Huyo alikuwa kazidi
 
Back
Top Bottom