Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

Mtu akishaolewa achana hata kama mlipeana upendo wa kutoleana figo.
Ndo maana inakatazwa sana kuwa na mawasiliano yasiyo ya lazima sana na ex wako ni lazima tu mtazini shetani ana nguvu.
Ukitaka kuivunja ndoa yako endeleza michezo ya kuchati chati na ex wako ,utalipata ulitafutalo.
Mume anakupiga chini ex nae uota mbawa.
Unabakia kuwa single mama.
 
Ufala wa huyo mume wa Jamaa ni kuoa Mwanamke aliyekua kwenye Mahusiano na mtu mwingine.
Upumbavu wako ni kuendeleza mawasiliano na mahusiano na mke wa mtu.
 
Utaliwa taqo. Mke wa mtu wewe unampa matumozi unaenda hospital kutoa damu yote hayo unayadanya ukijua ni mali ya wenyewe. Sasa surprise inakuja andaa KY. Hata kama n mm mke namuacha na wewe nakutafuta nipate kukupa kile unastahili.
 
Umefanya jambo sahihi kuokoa maisha yake wala Usijisikie vibaya
Pia huyo mume kushindwa kulea mkewe anategemea, we fanya msaada unapoweza ila usitoke nae kimapenzi maana Mmetoka mbali, na huyo mume kumuoa haraka haraka kisa kukukomesha wewe, alifanya kosa kubwa
 
Subiri kifo.
Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Maandiko marefu ila hayana mantiki na haibadili ukweli kuwa unamsogelea mke wa mtu means unausogelea moto,maamuzi yake ndo matokeo ya maisha anayoishi sasa,na wewe hiyo haikuhusu as long as hamko pamoja
Kiufupi tu kaa mbali na mke wa mtu,usimwamini mtu anayekuelezea changamoto za ndoa yake,apambane maana aliolewa mwenyewe hukuwepo.
We inabidi uendelee na maisha yako mambo ya kuendelea kuwaza sijui chemistry nzuri sijui nini mgekuwa na hiyo chemistry nzuri mgekuwa mme na mke kama mimi nilivokaa kwenye uchumba miaka saba ndo naendelea na chemistry yangu.
Unataka kuniambia usingekuwepo asingepata hiyo damu,tena universal recipient?yaani ni mtu gani atasikia ex wa mtu wake kamchangia damu alafu anyamaze?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa ushauri Mkuu nitaufanyia kazi, ila ni msaada tu nilikua natoa maana naamini mwisho wa mahusiano sio uadui bali maisha mengine yanaweza endelea. But nimeupata ushauri wako asante
Endelea kuamini hivo,kwani mkiachana kila mtu akaishi maisha yake ndo umekuwa uadui,bahati mbaya sina historia na ma ex ila mi nadhani mkishaendelea na maisha kila mtu ashike njia yake

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…