Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

Umejitakia mwenyewe, kwakua bado unampenda na amesha olewa ulipaswa kukaa nae mbali kwa maana ya kusiwe na mwasiliano hata ya salamu kati yenu, acha mazoea na mke wa mtu
 
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama

Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya kujifungua maana alipoteza damu nyingi sana na kujifungua kwake kulikua Complicated kidogo hivo nikachukua mda wangu kwenda hospitali kumwona

Ni hivi Wakuu, kitu ninachoamini ni kwamba katika safari ya maisha ya mahusiano wengi wetu tuna yule mtu ambae ulikua nae kwenye mahusiano na mmepitia nae mengi yanayojenga kumbukumbu ambazo zinakua ni ngumu kufutika kiwepesi na huenda bado unatamani kuendelea nae kwenye safari ya mahusiano ila ndo vile tena ya dunia ni Mengi.

Kwa upande wangu mm ni huyu binti(Ex) ambaye namzungumzia hapa. Nilianza nae mahusiano Chuo masomoni, Alichukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu kama Mshauri, Msaidizi, Mfariji na kifupi Chemistry yangu na yake zili match kwasababu alimudu madhaifu yangu na mm nlimudu yake na nikienda mbali zaidi nilimwona huyu binti kama Mama yangu wa pili kwasababu alizijua Mood zangu zote kama kuumwa, Huzuni hata kama nilizificha vipi kitu ambacho hata Dada zangu hawajawai kueleewa kiivo moods zangu. Hivyo naweza sema Huyu binti na Mamangu walinielewa sana(My strength and Weakness). Kifupi aliniheshimu na kunithamini sana na hakuona taabu kumweka bayana Mwanaume mwingine aliyemtaka kimapenzi kwamba anaye mimi inatosha.

Nimedumu na huyu binti takribani miaka mitatu na kifupi Sikupenda mwanamke mwingine zaidi ya kutamani tu tamaa za kawaida ambazo kila mwanaume kaumbiwa ila moyoni alijaa huyu binti.

Kilichonitenga na huyu binti baada ya miaka 3 ya mahusiano ni kwamba Alikua ana shoga yake mmoja Ambae nilikuwa na mazoea nae na kifupi tulizoeana kama mtu na shemeji yake na tuliishi kama familia kwakuwa alikuwa rafiki wa Mpenzi wangu, nashindwa kuielezea vizuri hii sehemu kwakuwa huwa inanifanya nijute kila nikikumbuka kifupi niliteleza na nilishindwa kukabiliana na Tamaa, nililala na shemeji yangu siku moja baada ya kupata nae Faragha.

Na ni kwamba mtu wangu aligundua na kuubaini ukweli wote kitu ambacho kilimfanya alie sana na kupatwa na hasira kwa namna nyingine naweza kusema hakuweza kuamini kama siku moja ningeweza kumfanyia kitu kama hicho na mbaya zaidi kwa rafiki yake mkubwa. Na katika hali hio hio ya hasira alimkubalia mwanaume mwingine ambaye alikuwa akimtaka kitambo tu na hakuwai kukata tamaa licha yakuwa mwanzo alikuwa ananiambia jamaa anamsumbua sana na hakati tamaa, safari hii jamaa alifanikiwa kukubaliwa baada ya mimi ya kuyakanyaga

Mwamba alienda nyumbani kwa binti akaonekana kwa wazazi wake na akatoa mahali na taratibu zote zikafwata hatimae mtoto akawekwa ndani na kufumba na kufumbua mwamba alivyokosa adabu na stara akamtundika na Mimba daaaa! 😢 Wakuu nilikosa raha,nilikua Mnyonge, usingizi ulinipaa na zaidi ya yote nilikosa Mwelekeo kwasababu katika kila nilichokifanya nilikua naona dhahiri kuna ki2 kinamiss, nikijaribu Mahusiano mengine ndo kwanza Moto unazidi kuwaka nivizinga kwa kwenda mbele, kuchitiwa kwa sana.

Nilianza kukubaliana na ukweli kwamba tayari nishapoteza moja ya nguzo yangu mhimu. Nilifuta namba za binti nikajiweka busy na maisha Mengine. Baada ya kama miezi 2 kupita bila mawasiliano na binti, siku moja nimekaa namba ngeni inanipigia kucheki kwa makini niya huyu Ex sabu niliikariri ikabidi kumsikiliza bidada ananung'unika Maisha yamemkua Mgumu, hana raha na maisha kiujumla na kachoka na hiyo ndoa na ndio kwanza ana miezi 2 tu anautafuta wa 3, lakini hana raha na huyo bwana na anaona wanapishana nae kwenye vingi yani hana Chemistry nae kabsa mbaya zaidi vijisenti vyake vinaishia kwenye bia kwaio imekua ni ngumu hata kwa bidada ku survive na ni mjamzito bidada kaenda mbali zaidi na kunilaumu kwamba mm ndo nimeua hatmi yake apa duniani haoni radha ya maisha tena. Binafsi iliniumiza lakini pia nilitoa ya moyoni kwamba nae alikurupuka sana hata kama sawa ni hasira zilimwendesha ila kujiingiza kwenye ndoa na m2 ambae hakupata mda wa kumfahamu vizuri.

Kuanzia siku hio niliendelea kuwasiliana na binti ila mara zote yeye ndo alinitafuta akiniomba ushauri na sometimes alidai hana hata hela ya kula bwana busy na bia kwaio nlikua na desturi ya kumsaidi kwakua mm nilikua na kazi hatakama sio ya moja kwa moja ila iliniingizia kipato na niliweza walau kuendesha maisha yangu kwaio nilikua namsaidia pia.

Kiukweli nilijua nafanya makosa kwanza kufanya mawisiliano nae na pia kumpa pesa ilihali ana mme wake ila kiukweli nilifanya toka moyoni ukizingatia ni binti ambae kiukweli ni ngumu kwangu kuona anapata shida na mimi naona kifupi hata iwe usiku wa manane ni lazima nitamsaidia tu kama nina uwezo wa kufanya ivo, ni yale maisha tuliyoyaishi kabla na hadi sasa huwa naona kabisa kuna milango ya maisha ingekua ngumu kufunguka kwangu pasina huyu binti ni kama (destiny helper) vile na ndomaana huwa nashindwa kukaa kimya pindi atakapo msaada. Ubaya ni kwamba utata unakuja ni kwamba ndoa ya binti ikaanza kuingia matatani kwasababu sometimes akigombana na Mumewe ananitaja kwa Bwana ake et mm nlikuwa nam handle ila sio yy mumewe. Wanaume wenzangu mnaweza elewa maumivu ya hii kitu.

Ushauri wenu nauhitaji hapa wakuu. Ni kwamba wiki iliyopita bidada mda wake wakujifungua ulifika ila haukua salama kidogo alimwaga damu nyingi sana hivo akazidiwa nilivyozipata hizi habari ikabidi niende kumwona kama rafiki. Kufika pale nikapata taarifa bidada anahitaji donation ya damu ili aludi kwenye utimamu wake, binti Group lake ni "AB" na mimi langu ni "O " wataalamu mtakua mmenipata hapo kwamba niko kwenye nafasi ya kufanya donation kwa binti na kikubwa kilicho ni push kufanya ivo ni kwamba binafsi huwaga na shida ya ugonjwa wa polycythemia au hypervolemia, huu ni ugonjwa wa mtu kuwa na damu nyingi sana mwili hali inayopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara na kupatwa na kizunguzungu hivyo binafsi huwa na utaratibu wa kwenda kufanya donation baada ya mda fulani kwaajili ya afya yangu pia binafsi. Ivo kwakua sikua nimefanya ilo zoezi kwa miezi kadhaa nikaona sio mbaya kwafaida yangu na kwa binti pia.

Nashukuru Mungu zoezi likaenda vizuri kwangu na kwa binti hadi aka recover. Utata unakuja baada ya binti ku recover mahaba yamezidi kwangu hali yakushindwa kujizuia hata kwa Mumewe na hivi ninavyoandika uzi huu wametengana Jamaa kamaindi na issue ya mm kumchangia damu mkewe ndo imemchefua zaidi na jamaa kaenda mbali zaidi kwa kunitisha kama kuna surprise yangu ambayo sitakaa niisahau.

Bidada ni kama vile anataka kunilazimishia mm ndo nimwoe vle na mm inanipa ukakasi io kwakua tayari ana mtoto na jamaa, kwaio najua italeta shida mbeleni ila jamaa anabifu na mimi ambalo so la kawaida na jamaa navoelewa anampenda sana binti ila binti ndo vile tena. Ushauri wenu wakuu naluka vipi iki kiunzi bila kumuumiza yoyote na maisha yaendele. Asanteni kwa time yenu.
Mwenye kosa ni wewe kwann wanaume tunaumizana wenyewe?
Eb muwe mnajarib kubeba maumivu kama ungekuwa wewe unafanyiwa ivo kwa mkeo?

Wamekushauri mengi sana ila kama unaakili huyo mwanamke hafai ndugu,,,hizo suprise ulizozifanya kwa mme wake wa halali ukijidanganya ukamuoa tu,,, utarudi hapa kuthibitisha kwamba kupendana haimanishi ndo kuishi pamoja ,,,,huyo mwanamke ogopa mkuu ,,,wewe unaamin utamridhisha kwa kila kitu anachotaka? Bro hiv viumbe vinabadilika aisee
 
Huyu bwana mtoa mada mkiona zimepita siku 5-7 kwanzia alipotoa hii thread basi mjue kabisa keshayapokea malipo yake na sapraiz kutoka kwa huyo mme wa X wake, kwahiyo wana JF msiumize kichwa mtajua pa kuanzia kuhusu kesi ya kupotea kwa huyu bwana mtoa uzi[emoji23][emoji23][emoji23].

Nawewe ni mpumbavu kwan huwez kumsaidia huyo x wako kimya kimya pasipo kumsabishia mmewe kujua?

Jifunze kitu, X harudiwi wala hatafutwi haijalishi anapitia mangap huko aliko acha ayapitie ni wakati wake na ni malipo yake ya uchaguzi wake wa maisha, acha kihelehele na ujuaji, utaja potezwa siku si zako.
 
Naona waliokushauri wote ni washamba hawana exposures ya maisha (ya kidini na kidunia). Huyo binti anakupenda na wewe unampenda. Mwambie afuate utaratibu wa kuvunja ndoa (whether mahakamani au sehemu yeyote) waachane kabisa na huyo mwanaume. Then mje muoane. Usirembe kwa ma warda mliyonayo. Ukimuacha anaweza kujiua kitu ambacho siyo kizuri. Hao wanaokuambia eti mke wa mtu siyo tatizo kwa sababu yeye binti ndiye alikosea ili kukukomoa.
Tangu lini machawa mkawa na akili? Yaan ndoa ifungwe then ivunjwe sababu kwa sababu za kitoto kama hizo?? Ndiomaana hata mnauza bandari zetu na resources za nchi pia hamuoni shida kusaini mikataba ya ulaghai kwa tamaa zenu za kijinga
 
Umeandika maelezo marefu Ili kujiharalishia dhambi ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu. Ni Hivi omba kikao na wazee na huyo jamaa na mke wake awepo. Uape kuachana na Binti Kwa namna zote yaani urafiki, ukaribu, undugu, mawasiliano ya ana Kwa ana, ya simu n.k achana nae.

Binti akishaolewa hata Kama ulimchangia Figo ndo imeisha hiyo. Kijana wewe ndie unasumbua na kwamantiki hiyo nikuombe kaa mbali na mke wa mtu na ikiwezekana hama mkoa mpuuzi mkubwa wewe.
NAKAZIA SANA
 
Ndoa hufungwa pale mnapokubaliana mwanzo, ndiyo maana watu wengi wanateseka kwenye ndoa kumbe ndoa alishafunga na mtu mwingine wa ujanani bila kujua anaenda kujiingiza kama huyo binti. Tambua mumewe hasa huyo binti ni huyu mshikaji na siyo huyo mwenye mtoto. Nina uhakika watasettle.
Ukiona binti alikuwa anakukataa miaka halafu ghafla akakukubalia ,kaa naye mbali, ndio kuolewa kwa mihemko sababu kagombana na mtu wake. Huyo binti hampendi huyo jamaa, na asipoangalia wataumizana naye.
Huyo kaka akae naye mbali, kama binti ana ubavu avunje ndoa yake mwenyewe maana aliingia kichwa kichwa akidhani amemkomoa ex wake kumbe anajipalia mkaa.
 
Wabongo bwana, hujui kupata mtu wa kuchangia damu ni mtihani, kafanya vyema kuokoa uhai wa mtu.

Kupata mtu wa kuchangia damu ni kipengele.
 
Tena bora huyo katoa taarifa wengine wanamaliza kimyakimya

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Wanaume wa kibongo bwana, eti unaua mtu sababu ya mke , huko ni kukosa kujiamini. Kama mke anachepuka muache aende kuliko kujitafutia matatizo na kutia kizazi chako doa. Kwani umemzaa wewe mpaka uuwe sababu yake? Grow up men.
 
Mimi siyo muumini wa  KUVUMILI ndoa badala ya  KUJIVUNIA ndoa. Ila pia naamini kuoa mke mwenye mtoto ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro.

Jamii kuna njinsi inaamini/imeaminisha mambo yanatakiwa yaende au yawe lakini siyo lazima kuwa ndo UKWELI PEKEE na kwamba ukifanya kinyume chake ni kosa, HAPANA.

Kama upendo upo sehemu zote basi fanya maamuzi, mwambie afanya taratibu zote za kisheria kuvunja ndoa aliyomo (tuongezee idadi ya ndoa zinazovunjika kwenye takwimu) kisha nawe ufanya taratibu za kumwoa lakini ni vyema ukimuoa mtoto akiwa mkubwa.....

Vinginevyo endeleeni kuteseka ndani ya mfumo wa imani ya jamii zetu, maana hapo mwanamke hata kama huta muoa wewe na akarudi kwa huyo mwana bado hakutakuwa na amani kwenye hiyo ndoa na bado anaweze kumsaliti hata kama siyo kwako...
Mimi siwezi kujitesa kuishi na mtu ambaye naona hakuna mapenzi, cha kujifia nini.
 
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama

Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya kujifungua maana alipoteza damu nyingi sana na kujifungua kwake kulikua Complicated kidogo hivo nikachukua mda wangu kwenda hospitali kumwona

Ni hivi Wakuu, kitu ninachoamini ni kwamba katika safari ya maisha ya mahusiano wengi wetu tuna yule mtu ambae ulikua nae kwenye mahusiano na mmepitia nae mengi yanayojenga kumbukumbu ambazo zinakua ni ngumu kufutika kiwepesi na huenda bado unatamani kuendelea nae kwenye safari ya mahusiano ila ndo vile tena ya dunia ni Mengi.

Kwa upande wangu mm ni huyu binti(Ex) ambaye namzungumzia hapa. Nilianza nae mahusiano Chuo masomoni, Alichukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu kama Mshauri, Msaidizi, Mfariji na kifupi Chemistry yangu na yake zili match kwasababu alimudu madhaifu yangu na mm nlimudu yake na nikienda mbali zaidi nilimwona huyu binti kama Mama yangu wa pili kwasababu alizijua Mood zangu zote kama kuumwa, Huzuni hata kama nilizificha vipi kitu ambacho hata Dada zangu hawajawai kueleewa kiivo moods zangu. Hivyo naweza sema Huyu binti na Mamangu walinielewa sana(My strength and Weakness). Kifupi aliniheshimu na kunithamini sana na hakuona taabu kumweka bayana Mwanaume mwingine aliyemtaka kimapenzi kwamba anaye mimi inatosha.

Nimedumu na huyu binti takribani miaka mitatu na kifupi Sikupenda mwanamke mwingine zaidi ya kutamani tu tamaa za kawaida ambazo kila mwanaume kaumbiwa ila moyoni alijaa huyu binti.

Kilichonitenga na huyu binti baada ya miaka 3 ya mahusiano ni kwamba Alikua ana shoga yake mmoja Ambae nilikuwa na mazoea nae na kifupi tulizoeana kama mtu na shemeji yake na tuliishi kama familia kwakuwa alikuwa rafiki wa Mpenzi wangu, nashindwa kuielezea vizuri hii sehemu kwakuwa huwa inanifanya nijute kila nikikumbuka kifupi niliteleza na nilishindwa kukabiliana na Tamaa, nililala na shemeji yangu siku moja baada ya kupata nae Faragha.

Na ni kwamba mtu wangu aligundua na kuubaini ukweli wote kitu ambacho kilimfanya alie sana na kupatwa na hasira kwa namna nyingine naweza kusema hakuweza kuamini kama siku moja ningeweza kumfanyia kitu kama hicho na mbaya zaidi kwa rafiki yake mkubwa. Na katika hali hio hio ya hasira alimkubalia mwanaume mwingine ambaye alikuwa akimtaka kitambo tu na hakuwai kukata tamaa licha yakuwa mwanzo alikuwa ananiambia jamaa anamsumbua sana na hakati tamaa, safari hii jamaa alifanikiwa kukubaliwa baada ya mimi ya kuyakanyaga

Mwamba alienda nyumbani kwa binti akaonekana kwa wazazi wake na akatoa mahali na taratibu zote zikafwata hatimae mtoto akawekwa ndani na kufumba na kufumbua mwamba alivyokosa adabu na stara akamtundika na Mimba daaaa! 😢 Wakuu nilikosa raha,nilikua Mnyonge, usingizi ulinipaa na zaidi ya yote nilikosa Mwelekeo kwasababu katika kila nilichokifanya nilikua naona dhahiri kuna ki2 kinamiss, nikijaribu Mahusiano mengine ndo kwanza Moto unazidi kuwaka nivizinga kwa kwenda mbele, kuchitiwa kwa sana.

Nilianza kukubaliana na ukweli kwamba tayari nishapoteza moja ya nguzo yangu mhimu. Nilifuta namba za binti nikajiweka busy na maisha Mengine. Baada ya kama miezi 2 kupita bila mawasiliano na binti, siku moja nimekaa namba ngeni inanipigia kucheki kwa makini niya huyu Ex sabu niliikariri ikabidi kumsikiliza bidada ananung'unika Maisha yamemkua Mgumu, hana raha na maisha kiujumla na kachoka na hiyo ndoa na ndio kwanza ana miezi 2 tu anautafuta wa 3, lakini hana raha na huyo bwana na anaona wanapishana nae kwenye vingi yani hana Chemistry nae kabsa mbaya zaidi vijisenti vyake vinaishia kwenye bia kwaio imekua ni ngumu hata kwa bidada ku survive na ni mjamzito bidada kaenda mbali zaidi na kunilaumu kwamba mm ndo nimeua hatmi yake apa duniani haoni radha ya maisha tena. Binafsi iliniumiza lakini pia nilitoa ya moyoni kwamba nae alikurupuka sana hata kama sawa ni hasira zilimwendesha ila kujiingiza kwenye ndoa na m2 ambae hakupata mda wa kumfahamu vizuri.

Kuanzia siku hio niliendelea kuwasiliana na binti ila mara zote yeye ndo alinitafuta akiniomba ushauri na sometimes alidai hana hata hela ya kula bwana busy na bia kwaio nlikua na desturi ya kumsaidi kwakua mm nilikua na kazi hatakama sio ya moja kwa moja ila iliniingizia kipato na niliweza walau kuendesha maisha yangu kwaio nilikua namsaidia pia.

Kiukweli nilijua nafanya makosa kwanza kufanya mawisiliano nae na pia kumpa pesa ilihali ana mme wake ila kiukweli nilifanya toka moyoni ukizingatia ni binti ambae kiukweli ni ngumu kwangu kuona anapata shida na mimi naona kifupi hata iwe usiku wa manane ni lazima nitamsaidia tu kama nina uwezo wa kufanya ivo, ni yale maisha tuliyoyaishi kabla na hadi sasa huwa naona kabisa kuna milango ya maisha ingekua ngumu kufunguka kwangu pasina huyu binti ni kama (destiny helper) vile na ndomaana huwa nashindwa kukaa kimya pindi atakapo msaada. Ubaya ni kwamba utata unakuja ni kwamba ndoa ya binti ikaanza kuingia matatani kwasababu sometimes akigombana na Mumewe ananitaja kwa Bwana ake et mm nlikuwa nam handle ila sio yy mumewe. Wanaume wenzangu mnaweza elewa maumivu ya hii kitu.

Ushauri wenu nauhitaji hapa wakuu. Ni kwamba wiki iliyopita bidada mda wake wakujifungua ulifika ila haukua salama kidogo alimwaga damu nyingi sana hivo akazidiwa nilivyozipata hizi habari ikabidi niende kumwona kama rafiki. Kufika pale nikapata taarifa bidada anahitaji donation ya damu ili aludi kwenye utimamu wake, binti Group lake ni "AB" na mimi langu ni "O " wataalamu mtakua mmenipata hapo kwamba niko kwenye nafasi ya kufanya donation kwa binti na kikubwa kilicho ni push kufanya ivo ni kwamba binafsi huwaga na shida ya ugonjwa wa polycythemia au hypervolemia, huu ni ugonjwa wa mtu kuwa na damu nyingi sana mwili hali inayopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara na kupatwa na kizunguzungu hivyo binafsi huwa na utaratibu wa kwenda kufanya donation baada ya mda fulani kwaajili ya afya yangu pia binafsi. Ivo kwakua sikua nimefanya ilo zoezi kwa miezi kadhaa nikaona sio mbaya kwafaida yangu na kwa binti pia.

Nashukuru Mungu zoezi likaenda vizuri kwangu na kwa binti hadi aka recover. Utata unakuja baada ya binti ku recover mahaba yamezidi kwangu hali yakushindwa kujizuia hata kwa Mumewe na hivi ninavyoandika uzi huu wametengana Jamaa kamaindi na issue ya mm kumchangia damu mkewe ndo imemchefua zaidi na jamaa kaenda mbali zaidi kwa kunitisha kama kuna surprise yangu ambayo sitakaa niisahau.

Bidada ni kama vile anataka kunilazimishia mm ndo nimwoe vle na mm inanipa ukakasi io kwakua tayari ana mtoto na jamaa, kwaio najua italeta shida mbeleni ila jamaa anabifu na mimi ambalo so la kawaida na jamaa navoelewa anampenda sana binti ila binti ndo vile tena. Ushauri wenu wakuu naluka vipi iki kiunzi bila kumuumiza yoyote na maisha yaendele. Asanteni kwa time yenu.
Huwenda ninachokiandika kikakuuma au nikapigwa mpaka ban na moderator lakini kama kisa kilichotokea kwako kilimtokea jirani yangu kazinguana na dem wake dem hasira akaenda kuolewa na jamaa fulani.

Baada ya muda dem akawa anaznguana na mmewe na kisa ni huyu jirani yangu mara apige sim mara atume mesage,mme mtu alimpa warning zaid ya mara tatu achana na mke wangu kama ungekuwa unampenda ungemuweka wewe ndani kama mkeo.

Jamaa kila akiambiwa anakaa week anaendelea na mwanamke ndo kila saa mara jamaa hanipend kama unavyonipenda wewe mara hivi mara vile kama sababu ya kutafutia njia ya kuchepuka.

Siku ya siku jirani yangu kaenda zake bar wazee wakamchezeshea mchezo kalewa mpaka amezika anaamka asubuh anajikuta yuko sokoni mtaani akiwa mtupu akafu kamwagiwa manii mwili mzma kuanzia mkndun mpka kichwani inshort walimfira.

Kama unavyojua mitaani kwetu mwenye siku kapiga picha wengine video ilimradi mpka saa 4 mtaa mzma una habari mpka napozungumza na wewe hapa ni kwamba jamaa kakimbia mji,dem kaachwa na mwamba wakapelekana mpaka ustawi jamaa analipa 20k kwa week kwa ajili ya watoto tu wakati alikuwa anapewa mpaka 50k kwa siku kabaki single maza.

Kisa kingine ni jamaa alikuwa na uwezo hivyo hvyo achana na mke wangu mbishi watu wakamtegeshe demu pisi kali aliyeungua ndani ya week tu ngoma hyo tena jamaa alivyokuwa na hasira alihakikisha hadi mkewe ameukwaa

So visa ni vingi huwez jua uchungu wa mke mpaka uingie kwenye ndoa na mme anaweza kufanya lolote hata kuua sababu ya mkewe na huwa siyo sababu ya **** bali dharau anayopata ndani ya jamii hasa kila mtu akijua mkeo anatombwa na fulani.
 
Noted:
Kama ningekuwa ni mimi pia ningekufanyia tukio zito vile vile ambalo usingesahau maisha yako yote so kaa mbali na wake za watu kijana
Huu nao ni wendawazimu, na I tabia za watu masikini. Watu kama kina Mosha wangetaka kufanya umafia wangefanya ila wanaona ni ujuha uliopitiliza. Haweza halibu jina lake sababu ya mtu amlokutana ukibwani.
 
Umeandika maelezo marefu Ili kujiharalishia dhambi ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu. Ni Hivi omba kikao na wazee na huyo jamaa na mke wake awepo. Uape kuachana na Binti Kwa namna zote yaani urafiki, ukaribu, undugu, mawasiliano ya ana Kwa ana, ya simu n.k achana nae.

Binti akishaolewa hata Kama ulimchangia Figo ndo imeisha hiyo. Kijana wewe ndie unasumbua na kwamantiki hiyo nikuombe kaa mbali na mke wa mtu na ikiwezekana hama mkoa mpuuzi mkubwa wewe.
Well said
 
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama

Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya kujifungua maana alipoteza damu nyingi sana na kujifungua kwake kulikua Complicated kidogo hivo nikachukua mda wangu kwenda hospitali kumwona

Ni hivi Wakuu, kitu ninachoamini ni kwamba katika safari ya maisha ya mahusiano wengi wetu tuna yule mtu ambae ulikua nae kwenye mahusiano na mmepitia nae mengi yanayojenga kumbukumbu ambazo zinakua ni ngumu kufutika kiwepesi na huenda bado unatamani kuendelea nae kwenye safari ya mahusiano ila ndo vile tena ya dunia ni Mengi.

Kwa upande wangu mm ni huyu binti(Ex) ambaye namzungumzia hapa. Nilianza nae mahusiano Chuo masomoni, Alichukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu kama Mshauri, Msaidizi, Mfariji na kifupi Chemistry yangu na yake zili match kwasababu alimudu madhaifu yangu na mm nlimudu yake na nikienda mbali zaidi nilimwona huyu binti kama Mama yangu wa pili kwasababu alizijua Mood zangu zote kama kuumwa, Huzuni hata kama nilizificha vipi kitu ambacho hata Dada zangu hawajawai kueleewa kiivo moods zangu. Hivyo naweza sema Huyu binti na Mamangu walinielewa sana(My strength and Weakness). Kifupi aliniheshimu na kunithamini sana na hakuona taabu kumweka bayana Mwanaume mwingine aliyemtaka kimapenzi kwamba anaye mimi inatosha.

Nimedumu na huyu binti takribani miaka mitatu na kifupi Sikupenda mwanamke mwingine zaidi ya kutamani tu tamaa za kawaida ambazo kila mwanaume kaumbiwa ila moyoni alijaa huyu binti.

Kilichonitenga na huyu binti baada ya miaka 3 ya mahusiano ni kwamba Alikua ana shoga yake mmoja Ambae nilikuwa na mazoea nae na kifupi tulizoeana kama mtu na shemeji yake na tuliishi kama familia kwakuwa alikuwa rafiki wa Mpenzi wangu, nashindwa kuielezea vizuri hii sehemu kwakuwa huwa inanifanya nijute kila nikikumbuka kifupi niliteleza na nilishindwa kukabiliana na Tamaa, nililala na shemeji yangu siku moja baada ya kupata nae Faragha.

Na ni kwamba mtu wangu aligundua na kuubaini ukweli wote kitu ambacho kilimfanya alie sana na kupatwa na hasira kwa namna nyingine naweza kusema hakuweza kuamini kama siku moja ningeweza kumfanyia kitu kama hicho na mbaya zaidi kwa rafiki yake mkubwa. Na katika hali hio hio ya hasira alimkubalia mwanaume mwingine ambaye alikuwa akimtaka kitambo tu na hakuwai kukata tamaa licha yakuwa mwanzo alikuwa ananiambia jamaa anamsumbua sana na hakati tamaa, safari hii jamaa alifanikiwa kukubaliwa baada ya mimi ya kuyakanyaga

Mwamba alienda nyumbani kwa binti akaonekana kwa wazazi wake na akatoa mahali na taratibu zote zikafwata hatimae mtoto akawekwa ndani na kufumba na kufumbua mwamba alivyokosa adabu na stara akamtundika na Mimba daaaa! 😢 Wakuu nilikosa raha,nilikua Mnyonge, usingizi ulinipaa na zaidi ya yote nilikosa Mwelekeo kwasababu katika kila nilichokifanya nilikua naona dhahiri kuna ki2 kinamiss, nikijaribu Mahusiano mengine ndo kwanza Moto unazidi kuwaka nivizinga kwa kwenda mbele, kuchitiwa kwa sana.

Nilianza kukubaliana na ukweli kwamba tayari nishapoteza moja ya nguzo yangu mhimu. Nilifuta namba za binti nikajiweka busy na maisha Mengine. Baada ya kama miezi 2 kupita bila mawasiliano na binti, siku moja nimekaa namba ngeni inanipigia kucheki kwa makini niya huyu Ex sabu niliikariri ikabidi kumsikiliza bidada ananung'unika Maisha yamemkua Mgumu, hana raha na maisha kiujumla na kachoka na hiyo ndoa na ndio kwanza ana miezi 2 tu anautafuta wa 3, lakini hana raha na huyo bwana na anaona wanapishana nae kwenye vingi yani hana Chemistry nae kabsa mbaya zaidi vijisenti vyake vinaishia kwenye bia kwaio imekua ni ngumu hata kwa bidada ku survive na ni mjamzito bidada kaenda mbali zaidi na kunilaumu kwamba mm ndo nimeua hatmi yake apa duniani haoni radha ya maisha tena. Binafsi iliniumiza lakini pia nilitoa ya moyoni kwamba nae alikurupuka sana hata kama sawa ni hasira zilimwendesha ila kujiingiza kwenye ndoa na m2 ambae hakupata mda wa kumfahamu vizuri.

Kuanzia siku hio niliendelea kuwasiliana na binti ila mara zote yeye ndo alinitafuta akiniomba ushauri na sometimes alidai hana hata hela ya kula bwana busy na bia kwaio nlikua na desturi ya kumsaidi kwakua mm nilikua na kazi hatakama sio ya moja kwa moja ila iliniingizia kipato na niliweza walau kuendesha maisha yangu kwaio nilikua namsaidia pia.

Kiukweli nilijua nafanya makosa kwanza kufanya mawisiliano nae na pia kumpa pesa ilihali ana mme wake ila kiukweli nilifanya toka moyoni ukizingatia ni binti ambae kiukweli ni ngumu kwangu kuona anapata shida na mimi naona kifupi hata iwe usiku wa manane ni lazima nitamsaidia tu kama nina uwezo wa kufanya ivo, ni yale maisha tuliyoyaishi kabla na hadi sasa huwa naona kabisa kuna milango ya maisha ingekua ngumu kufunguka kwangu pasina huyu binti ni kama (destiny helper) vile na ndomaana huwa nashindwa kukaa kimya pindi atakapo msaada. Ubaya ni kwamba utata unakuja ni kwamba ndoa ya binti ikaanza kuingia matatani kwasababu sometimes akigombana na Mumewe ananitaja kwa Bwana ake et mm nlikuwa nam handle ila sio yy mumewe. Wanaume wenzangu mnaweza elewa maumivu ya hii kitu.

Ushauri wenu nauhitaji hapa wakuu. Ni kwamba wiki iliyopita bidada mda wake wakujifungua ulifika ila haukua salama kidogo alimwaga damu nyingi sana hivo akazidiwa nilivyozipata hizi habari ikabidi niende kumwona kama rafiki. Kufika pale nikapata taarifa bidada anahitaji donation ya damu ili aludi kwenye utimamu wake, binti Group lake ni "AB" na mimi langu ni "O " wataalamu mtakua mmenipata hapo kwamba niko kwenye nafasi ya kufanya donation kwa binti na kikubwa kilicho ni push kufanya ivo ni kwamba binafsi huwaga na shida ya ugonjwa wa polycythemia au hypervolemia, huu ni ugonjwa wa mtu kuwa na damu nyingi sana mwili hali inayopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara na kupatwa na kizunguzungu hivyo binafsi huwa na utaratibu wa kwenda kufanya donation baada ya mda fulani kwaajili ya afya yangu pia binafsi. Ivo kwakua sikua nimefanya ilo zoezi kwa miezi kadhaa nikaona sio mbaya kwafaida yangu na kwa binti pia.

Nashukuru Mungu zoezi likaenda vizuri kwangu na kwa binti hadi aka recover. Utata unakuja baada ya binti ku recover mahaba yamezidi kwangu hali yakushindwa kujizuia hata kwa Mumewe na hivi ninavyoandika uzi huu wametengana Jamaa kamaindi na issue ya mm kumchangia damu mkewe ndo imemchefua zaidi na jamaa kaenda mbali zaidi kwa kunitisha kama kuna surprise yangu ambayo sitakaa niisahau.

Bidada ni kama vile anataka kunilazimishia mm ndo nimwoe vle na mm inanipa ukakasi io kwakua tayari ana mtoto na jamaa, kwaio najua italeta shida mbeleni ila jamaa anabifu na mimi ambalo so la kawaida na jamaa navoelewa anampenda sana binti ila binti ndo vile tena. Ushauri wenu wakuu naluka vipi iki kiunzi bila kumuumiza yoyote na maisha yaendele. Asanteni kwa time yenu.
Sijajua kama nitakachoandika wameshaandika wenzangu

Ni hivi, inawezekana kwanza huyo jamaa alipanga mchezo na huyo aliyekuwa shemeji yako na wakafanikiwa. Shemeji akavujisha siri na hatimaye mwenza wako akapaniki. Ni kawaida yao kupaniki na kutafuta cha kuwaondolea hasira. Ndio usaliti unaingia. Hii sio kwa wanawake tu.

Sasa kosa linaanzia kwako kukubali. Kisha kosa linaendelea kwa mwenzio kukusaliti.

Najaribu kumuelewa huyo dada. Pengine kwa kujua kuwa hasira zitakapopungua angeweza kurudi kwako ndio maana jamaa akampa mimba. Jamaa anajua afanyacho. Ila pia hana sababu za kupaniki sana kwa kuwa alijivika ufisi kuvizia mkono unaodondoka. Alipoona haudondoki akaamua kupita nao.

Huyo mwanamke maisha yake hatakuja kuwa sawa. Hata kama akirudi kwako ukweli ni kwamba wana ndoa. Zaidi wana mtoto. Mtasumbuka sana. Wewe unaweza ku move on ila huyo mwanamke ni ngumu.

Fikisha hili suala kwa ndugu na jamaa. Nenda mbali zaidi ripoti polisi. Lakini kubwa zaidi angalieni msije poteza uhai wa huyo dada.

Na hii ni kwetu sote. Usaliti upo. Japo si halali haimanishi tuendekeze. Kubwa la kufanya ni kujipa muda wa kutuliza hasira angalau miezi 3. Maamuzi yafanyikayo wakati wa hasira, huzuni, furaha hayajawahi kumuacha mtu salama
 
Watu wapo too emotional amesema yeye huyo binti ndio anaemfuatafuata wajinga wamekomaa achana na wake za watu kwani kuna wake za wanyama shenzi type, baada mtoe ushauri mmekomaa achana na wake za watu km hamjasoma story kasema binti ndio anaemfuatafuata na walishafanya ya kufanya zaidi ya miaka 3 kwa hio wanajuana then what? Mmekomaa TU achana na wake za watu

Rubbish

Ebwana Mimi nakupa ushauri wa kiume

Rule #1 Mwanaume hutakiwi kua muoga

Rule #2 usipangiwe na kima yoyote nini ufanye na nini usifanye ndio hawa kima humu wasikupangie cha kufanya

Rule #3 jiamini katika maamuzi yako hata km unakosa Ila Amini upo sahihi

Rule #4 achana na ushauri unaokupeleka njia hasi ushauri unaokusiribia kwamba umekosea umekosea umekosea achana na huo ushauri

Rule #5 don't forget Rule #1 Mwanaume lazima uwe jasiri hata km unakatiza kwenye kundi la Simba wenye njaa kali ambao wapo tayari kukuralua mda wowote bila kujali unaelekea wapi au unatoka wapi

Nimemaliza
 
Back
Top Bottom