Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

statement za kiwaki namna hii ndio zinahalalisha ma Ex kumegana hata wakiwa katika ndoa. Ndio maana vijana wengi hata umuhimu wa kuoa hatuuoni sasa.

Binafsi mwanamke ambae anaendekeza mawasiliano na Ex huyo kwangu hana nafasi hata kama nampenda kiasi gani!!!
Kwanza unakubalije kuolewa wakat hisiaziko kwingine ni kujitafutia matatizo na mwishowake Huwa majuto tu
 
WEWE NA HUYO BINTI NYOTE NI MALIAR,HIVYO NI VEMA MALIAR MKAOANA KWANI MTAENDANA
 
Mwanamke Hana akili

Pia wewe mke utakyekuja kuoa atakua na chemistry na EX wake ndipo utaona umeandika ujinga
 
Hizi mambo sijui chemistry na blah blah zingine sijui tunazitoaga wapi, halafu group la damu AB si ni universal recepient kulikua na haja gani ya wewe kutoa damu hakukua na ndugu wengine wa karibu.

# Ingawaje ulifanya jambo zuri kama binadamu ila mke wa mtu ni sumu braza chunga malinda.
 
Kiufupi we na uyo binti bado mnapendana na kuachana amuwezi apo subir suprise yako mkuu
 
Naona waliokushauri wote ni washamba hawana exposures ya maisha (ya kidini na kidunia). Huyo binti anakupenda na wewe unampenda. Mwambie afuate utaratibu wa kuvunja ndoa (whether mahakamani au sehemu yeyote) waachane kabisa na huyo mwanaume. Then mje muoane. Usirembe kwa ma warda mliyonayo. Ukimuacha anaweza kujiua kitu ambacho siyo kizuri. Hao wanaokuambia eti mke wa mtu siyo tatizo kwa sababu yeye binti ndiye alikosea ili kukukomoa.
 
Mke wa mtu mke wa mtu, mke wa mtu my ass, mkuu amani ya moyo ndo kila kitu kwenye haya maisha. mwambie bi dada afuate utaratibu avunje hyo ndoa sumu, muoane maisha yaendelee, tena huyo jamaa akakuwa na adabu kwako kama mbwa.
 
Mke wa mtu huyo ,jamaa hakupigi mkwara atakumaindi kweli temana na huyo mwanamke kabisa.!
 
Unajua ukiwa mwanaume mwenye akili timamu kabisa ukianza kufikiria maumivu atakayopata mwanaume mwenzio akifahamu unatembea na mke wake kwa kweli yale maumivu ni makali sana lazima utaacha kabisa mazoea na mke watu, wahenga hawakukosea kusema mke wa mtu ni sumu na sumu kweli achana na mke wa mtu kwann uvuruge familia ya mwenzako kwa excuse za kipumbavu kaa mbali na mke wa mtu.
 
Mke wa mtu mke wa mtu, mke wa mtu my ass, mkuu amani ya moyo ndo kila kitu kwenye haya maisha. mwambie bi dada afuate utaratibu avunje hyo ndoa sumu, muoane maisha yaendelee, tena huyo jamaa akakuwa na adabu kwako kama mbwa.
Unampeleka chaka huku unamwelekezea kwenye kifo taratibu kwa kisingizio cha amani ya moyo, fata huu ushauri wa mwamba alafu last seen yako humu itabaki vilevile maana utakuwa umeshasepeshwa duniani
 
Ndugu,usipuuze kauli ya huyo jamaa,kumbuka kila mwanaume hapendi DHARAU!!!umefanya makosa mawili tayari,kuwasiliana na mke wa mtu na kudonate damu pasi na ruhusu ya mumewe,bad indeed!!!retreat and surrender or u get into trouble!..adios amigo!
 
Unampeleka chaka huku unamwelekezea kwenye kifo taratibu kwa kisingizio cha amani ya moyo, fata huu ushauri wa mwamba alafu last seen yako humu itabaki vilevile maana utakuwa umeshasepeshwa duniani
Asepeshwe na nani, wanaosepesha huwa hawatoi matangazo uchwara.
 
Back
Top Bottom