Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwandishi anakiri mtoto kilishakuwa kikwazo sasa huyu anaongea nini,hivi unadhani ile sijui physics yao itarudi kama zamani?unajua single maza wewe?Nani kakuambia ule moto wa upendo uliokuwepo kabla na kuachana mkirudiana Huwa unaendelea kuwepo.
Ni kwa mda mfupi tu utakuwa umeisha nao,kinachoua ule moto ni huyo mtoto wa mwanaume mwingine hamuwezi balance.
Hili liwe ni hitimisho la mwisho Kama ndoa imevunjika na Sio yeye akapromote kuvunja ndoa ya mtu anajichotea laana tupu.
For once be a man! 📌📌📌
statement za kiwaki namna hii ndio zinahalalisha ma Ex kumegana hata wakiwa katika ndoa. Ndio maana vijana wengi hata umuhimu wa kuoa hatuuoni sasa.naamini mwisho wa mahusiano sio uadui bali maisha mengine yanaweza endelea
Sio kosa.Mh ulikosea sana kutozuia hisia zako
Kuchangia damu sioni kama nikosa
Binti ndo anamsumbua mwamba Mimi namshauri aindelee kuichakata hiyo papuchi ila mambo ya ndoa amwachie mwenye mtotoUmeandika maelezo marefu Ili kujiharalishia dhambi ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu. Ni Hivi omba kikao na wazee na huyo jamaa na mke wake awepo. Uape kuachana na Binti Kwa namna zote yaani urafiki, ukaribu, undugu, mawasiliano ya ana Kwa ana, ya simu n.k achana nae.
Binti akishaolewa hata Kama ulimchangia Figo ndo imeisha hiyo. Kijana wewe ndie unasumbua na kwamantiki hiyo nikuombe kaa mbali na mke wa mtu na ikiwezekana hama mkoa mpuuzi mkubwa wewe.
Wanawake wanagia nyingi za kujipatia kipato na misaada toka Kwa ma ex waroho. Anaweza kukuambia mumewe Hivi au vile ilmradi tu afikie malengo yake. Jamaa angejiweka mbali tangu kitambo wasingefika huko waliko Sasa.Binti ndo anamsumbua mwamba Mimi namshauri aindelee kuichakata hiyo papuchi ila mambo ya ndoa amwachie mwenye mtoto
Ni kweli tatizo mtoto shobo zimejaa mpaka zinamwagikaWanawake wanagia nyingi za kujipatia kipato na misaada toka Kwa ma ex waroho. Anaweza kukuambia mumewe Hivi au vile ilmradi tu afikie malengo yake. Jamaa angejiweka mbali tangu kitambo wasingefika huko waliko Sasa.
Hahaha nimecheka kule mstari wa mwisho,Umeandika maelezo marefu Ili kujiharalishia dhambi ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu. Ni Hivi omba kikao na wazee na huyo jamaa na mke wake awepo. Uape kuachana na Binti Kwa namna zote yaani urafiki, ukaribu, undugu, mawasiliano ya ana Kwa ana, ya simu n.k achana nae.
Binti akishaolewa hata Kama ulimchangia Figo ndo imeisha hiyo. Kijana wewe ndie unasumbua na kwamantiki hiyo nikuombe kaa mbali na mke wa mtu na ikiwezekana hama mkoa mpuuzi mkubwa wewe.