Kwanza unakubalije kuolewa wakat hisiaziko kwingine ni kujitafutia matatizo na mwishowake Huwa majuto tustatement za kiwaki namna hii ndio zinahalalisha ma Ex kumegana hata wakiwa katika ndoa. Ndio maana vijana wengi hata umuhimu wa kuoa hatuuoni sasa.
Binafsi mwanamke ambae anaendekeza mawasiliano na Ex huyo kwangu hana nafasi hata kama nampenda kiasi gani!!!
Wengi wanatafta ndoa kwa ajili ya show off kuwatambia mashosti au kukimbizana na pressure za familia na umri.Kwanza unakubalije kuolewa wakat hisiaziko kwingine ni kujitafutia matatizo na mwishowake Huwa majuto tu
Kweli kabisa mwisho raha ya ndoa mpendane drama Huwa hazipo ila mkienda kwaajili ya harusi za mamilion na photoshoot lazima ikushindeWengi wanatafta ndoa kwa ajili ya show off kuwatambia mashosti au kukumbizana na pressure za familia na umri.
Naona waliokushauri wote ni washamba hawana exposures ya maisha (ya kidini na kidunia). Huyo binti anakupenda na wewe unampenda. Mwambie afuate utaratibu wa kuvunja ndoa (whether mahakamani au sehemu yeyote) waachane kabisa na huyo mwanaume. Then mje muoane. Usirembe kwa ma warda mliyonayo. Ukimuacha anaweza kujiua kitu ambacho siyo kizuri. Hao wanaokuambia eti mke wa mtu siyo tatizo kwa sababu yeye binti ndiye alikosea ili kukukomoa.
Unampeleka chaka huku unamwelekezea kwenye kifo taratibu kwa kisingizio cha amani ya moyo, fata huu ushauri wa mwamba alafu last seen yako humu itabaki vilevile maana utakuwa umeshasepeshwa dunianiMke wa mtu mke wa mtu, mke wa mtu my ass, mkuu amani ya moyo ndo kila kitu kwenye haya maisha. mwambie bi dada afuate utaratibu avunje hyo ndoa sumu, muoane maisha yaendelee, tena huyo jamaa akakuwa na adabu kwako kama mbwa.
Asepeshwe na nani, wanaosepesha huwa hawatoi matangazo uchwara.Unampeleka chaka huku unamwelekezea kwenye kifo taratibu kwa kisingizio cha amani ya moyo, fata huu ushauri wa mwamba alafu last seen yako humu itabaki vilevile maana utakuwa umeshasepeshwa duniani