Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Mkuu sikuungi mkono kwa uliyotenda,japo alikutukana ungempuuzia kwa kum-block n.k. Kisaikolojia unapenda visasi. "wataalam wa saikolojia tusaidieni hapa"
 
mnamshambulia Boflo kwa kosa gani.? Nikimshauli baba yako amuache mama yako atakubali.? au wewe umuache mume/mke wako.! Kila mtu akili mukichwa bana.
Kweli mkuu umenena....Au utasikia wanadai eti unamfundisha
tabia mbaya.....hivi utamfundishaje mtu mzima kitu....
 
Mbona mnanishambulia sana jmn.....
wabongo kwa kupenda ndoa bana....utadhani nimevunja katiba au..

hahaha...wanapenda sana ndoa kuliko katiba mkuu,sio fair ulivofanya imagine ww ndo huyo mwanamke
 
Huyo "jamaa" yako ambae akili zake kazikalia na kukufuatisha wewe sio mzima

Heri alivyomwacha mwanamke wa watu, ugumu wa kiuchumi utapita na atavuka

Ukiona mwanaume kutwa kuganda marafiki (mashosti) zake bila kujali nyumba yake jua umelamba gharasa
 
Mi nachoomba iendelee kuwa hadithi icwe kweli. Coz kama ni kweli kuna adhabu mbele yako.
 
Huyo Rafiki yako naona akili yake ni ya kushikiwa, mshauri awe MBAYUWAYI.
 
kwa psycholojia ya level tu ya certfificate inadhihirisha kuwa kweli ulimfundisha huyo rafikiyo tabia mbaya na huyo shemeji hakuwa mkorofi alichoka na tabia ulomfundisha mmewe. wewe jivunie tu kuvunja ndoa ya watu. iko siku nawe bossi wako , mjombako atamuoa mkeo kwa harusi nyeupe utuletee thread hapa pia. natamani wewe kafiri unaye vunja mdoa za watu nikushindilie mangumi ya puani
 
Boflo kuna kitu umempa jamaa akachanganyikiwa acha kusingizia watoto wa kitanga...by the way ulikua wapi ?


umenena mkuu kampa rafikiye express your self. hadi kamshauri atoe talaka si mchezo.

zamani mmeo akikutana na mwanamke unaogopa sahvi hata wanaume mnaiba waume zetu!loooh.
 
Afanye yake yepi sasa nae hana maisha ana kazi ya kuandamana na mwanaume mwenzie kutwa? Mtu hana hata geloflendi wa kumuweka busy, anatukanwa na mke wa jamaa anaenda kujisemelesha kama vile yeye ndo nyumba ndogo ga jamaa.

Hehehe he is a sissie!
na wewe uliesababisha waachane umepata faida gani kuvuruga ndoa ya watu? hata kama alikuwa mkorofi we 3rd part hayakuhusu ungefanya yako
 
Hehehe duh! Kwa attack za humu ndani lazima Boflo kapungua japo hata robo kilo aisee!
Inaonekana kiukweli ndoa zinapendwa na wengi, mara zote kuvunjika ni shetani au mashetani kuingia lakini sio matakwa ya wanandoa.
Boflo kuna hujuma unazikwepa humu ila, au unaziangalia na kuchagua kutokuziona?
Kisa msg tu za simu ndio uvunje ndoa ya watu? Halaf

1.design ulikua unajibishana na huyo mke wa jamaa kwenye hizo msg na
2. haingii akilini mwanaume ukashindwa kumpiga chini rafiki yako sababu mke wake hataki! Yani mimi nakuchana live bila kinyongo.

Sasa hivyo vyote hapo juu vinatia shaka kuhusu wewe ni mwanaume wa namna gani haswa na urafiki wenu ukoje hasa!?
 
Last edited by a moderator:
Wana jf wa sasa sijui mkoje? Mnanipa makavu, matusi, laana...khaaa, hamjui hata
kutoa ushauri, mko tofauti na wa zamani ambao kama nimeleta
thread ya kuwaudhi huwa wananipa ushauri mzuri, nisifanye hivyo
kwa sababu hii na hii na hapo wengine wanakuombea dua kua
Nisamehewe makosa na niongezwe kwenye njia sahihi kwa kua
hakuna aliye mkamilifu......mpaka roho yako inaridhika na unajuta
kwa mabaya uloyafanya....lakini wa sasa kazi mipasho, laana, maapizo, kupigana, khaaaaaa
 
unajisifia utafikiri kitu kizuri ulichofanya, heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu, kwa wewe kwa kuwa ni chanzo cha mafarakano na kuvunja ndoa utakuwa mtoto wa nani, kichwa matope

Mwenyewe anaitwa boflo
 
Afanye yake yepi sasa nae hana maisha ana kazi ya kuandamana na mwanaume mwenzie kutwa? Mtu hana hata geloflendi wa kumuweka busy, anatukanwa na mke wa jamaa anaenda kujisemelesha kama vile yeye ndo nyumba ndogo ga jamaa.

Hehehe he is a sissie!

hahshah utaua bendi jamaa akisoma hapa lols urafiki wao damudamu jamaa anamsikiliza rafiki yake kuliko mke? zombie wa hivi Mungu aniepushie far
 
Boflo sijapenda hii story best yangu
Badala ya kujenga ndoa unabomoa yelewiiii
 
Last edited by a moderator:
Boflo sijapenda hii story best yangu
Badala ya kujenga ndoa unabomoa yelewiiii
Ahaa mambo vp F1, utanisamehe best...
Na cku hizi ndoa zenyewe usanii mtupu, wengi wapo kimaslahi tu

hiyo yelewiiii ni nn au umekusudia keleuwiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…