Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu umenena....Au utasikia wanadai eti unamfundishamnamshambulia Boflo kwa kosa gani.? Nikimshauli baba yako amuache mama yako atakubali.? au wewe umuache mume/mke wako.! Kila mtu akili mukichwa bana.
Mbona mnanishambulia sana jmn.....
wabongo kwa kupenda ndoa bana....utadhani nimevunja katiba au..
Mi nachoomba iendelee kuwa hadithi icwe kweli. Coz kama ni kweli kuna adhabu mbele yako.Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe.
Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda kuangalia mpira, na mara nyingine kwa mambo ya ki business. Mara nyingi huwa namwambia arudi home mapema ili shemeji asiudhike. Jamaa alikua akilalamika kua mke wake ana wivu sana na mkorofi. Nilimjibu kua huyo ni mke mzuri na anampenda ndo maana yuko hivyo na nilimu heshimu sana shemeji.
Siku 1 mkewe alinipigia simu akinishutumu kua mimi namuharibu mumewe kwa kumpeleka kwa wanawake na toka amejuana na mimi amebadilika na akanitukana sana.
Nikaongea na jamaa kuwaa tusiwe tunawasiliana na mara nyingi, akinifata nilijaribu sana kumkwepa. Pamoja na jitihada zangu zote, mkewe kila siku alikua akinitumia meseji za kunitukana, nikaona isiwe taabu kwa kuwa jamaa alikua ni mtu wa kunisikiliza sana nikampeleka sehemu kumkutanisha na mtoto wa kitanga.
Jamaa baada ya kupewa mambo kanogewa, hivi sasa kampangishia nyumba Mikocheni na ana process harusi. Nikamshauri aachane na huyo mke mkorofi na kweli amempa talaka na kumrudisha kwao, na huko wana maisha magumu anapata shida namuonea huruma lakini ndo hivyo amejitakia
Fundisho kwa walioolewa:
Msiwe mnawafikiria vibaya marafiki wa waume zenu. Waheshimuni.
Boflo kuna kitu umempa jamaa akachanganyikiwa acha kusingizia watoto wa kitanga...by the way ulikua wapi ?
na wewe uliesababisha waachane umepata faida gani kuvuruga ndoa ya watu? hata kama alikuwa mkorofi we 3rd part hayakuhusu ungefanya yako
unajisifia utafikiri kitu kizuri ulichofanya, heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu, kwa wewe kwa kuwa ni chanzo cha mafarakano na kuvunja ndoa utakuwa mtoto wa nani, kichwa matope
Afanye yake yepi sasa nae hana maisha ana kazi ya kuandamana na mwanaume mwenzie kutwa? Mtu hana hata geloflendi wa kumuweka busy, anatukanwa na mke wa jamaa anaenda kujisemelesha kama vile yeye ndo nyumba ndogo ga jamaa.
Hehehe he is a sissie!