Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

Mbona hiyo IPO Sana.

Mwingine analala na mwanaume mwingine siku moja kabla ya Harusi.

Dunia ina mambo hii

MWANZO MLANGO WA 6​

1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
3 Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
6 Bwana akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo.
7 Bwana akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya.

Tuwaombee rehema vijana wetu sanaaaaa​

 
Wataoana. Trust me. Na wewe utakuwa adui yao namba moja. Usipende kujihusisha na mambo ya watu wawili hadharani hasa wenye akili za kitoto kama huyo mdogo wako
Mbona umekuwa mkali sana madame? Hata ningekuwa mimi, ningepiga chini. Kama kaamua kuolewa inakuwaje analiwa na wengine wasio na mpango wa kumuoa? Kama kaamua kutulia na atulie aolewe, sio kuruka ruka wakati kachumbiwa.
 
Sio kwamba hazipo kabisa kwenye miaka 24,lakini kama kati ya wanawake 100 unaikuta moja hapo ni sawa na kwamba hazipo. Ni sawa endelea kumsapot huo ujinga.

Lakini jiulize kuna wanaume wangapi wanaotakiwa waoe huu mwaka?. Wote waanze kukagua bikira?. Sio uendawazimu huo?. Ktk kukagua bikira unakutana na vya zaidi
 
Kwani wewe umeoa Bikira?
 
Kama huyo binti anapafahamu kwako l,trust me atapitia sheli
 
Mkuu ukisoma vizuri comment yangu utagundua aiko mbali sana na mawazo yako,ni kweli bikra ni ngumu sana kuzipata ila sio kusema eti hazipo kwa wadada wa miaka 20 na kuendelea, hicho ndicho nilichopinga

Idea yako ya wanaume wote wanaotaka kuoa mwaka huu kutafuta mabikra umenifanya nicheke sana,anyway kula mtu yupo sawa kwa upande wake😂😂😂
 
Kunguru hafugiki mjomba, nilimtoa bikra mimi mwenyewe na bado kucheat alicheat kama kawaida walahi.
 
Safi sana kamanda... sasa kama hana maamuzi alikuita wa nini?
 
Point sio kwamba ni bikra sana tatizo ni kwamba huyu bibi harusi kashindwa hata kuficha makucha kwa kipindi kifupi tu hicho hadi ndoa ipite ye kaamua kugawa

Ndo maana tunakomalia bikra tu
Umefanya vibaya sanaaa,hujui tu huyo jamaa alikuwa anaagana nae ili akiingia kwenye ndoa wasisumbuane

Hii hutoke pindi wanawake ma demu zetu wakitaka kuolewa ,michango tunawapa lakini pia wanatupa utamu Mara ya mwisho mwisho

Na uhakika huyu demu alikuwa na wote wawili pamoja na ndugu yako ilaa mwenye future nae alikuwa ni huyo j ,

Shidaa ni tu j kajua ilaaa asingejua haya mambo kawaida sanaaa .lazima wana waagane kwanza .

My ex kaolewa na mchango nimempa sijamuaga sababu ya umbali tu ilaa alinipa taarifa kuwa anataka kuolewa na kadi kanipa ,huwa ni fair play wakati mwingine kwamba ndio naolewa / naoa lkn haimanishi ww wa zamani ni adui yangu
 
Joka Jeusi, popote alipo anatakiwa aendelee kinywaji, kwa hisani yangu!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ungeniita nikusaidie kumtandika mchumba mbovu....
 
Bikra Matters

VIRGINITY doesnt mean DIGNITY; Is Just Lack of Opportunity Influenced By DIVINITY.

Mwaka 2020 nimemuona Mwanamke nimfahamuye (tumesoma shule ya msingi moja) aliyezaliwa mwaka 1968 na kuolewa miaka ya Tisini akiwa BIKRA akichepuka. Mbaya zaidi alikuwa na WANAUME watatu (mume na michepuko 2) wote wakiishi mji mmoja. Mwanamke ana watoto 3 huku wa kwanza akiwa around 30yrs.

Kuchupuka ni tabia zaidi.

Bazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…